Matokeo ya darasa la Saba 2014 yatangazwa, mkoa wa Dar es Salaam waongoza

Dotto Mnzava

R I P
Mar 6, 2014
865
427
Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya darasa la Saba mwaka 2014 ambayo yameonyesha ongezeko la ufaulu wa asilimia 56.99 tofauti na ufaulu wa mwaka jana wa asilimia 51.6

Akitangaza matokeo hayo jijini Dar es salaam leo Novemba 5, 2014 Katibu Mtendaji wa Baraza la mitihani Tanzania, Dk.Charles Msonde, ametaja jumla ya wanafunzi waliojisajili kufanya mitihani kufikia 792,118 sawa na asilimia 98.2 na jumla ya watahiniwa 451 wamepata alama 100 au zaidi huku mkoa wa Dar es salaam ukiongoza.

 
Labda nimsaidie huyu jamaa yetu, matokeo ya darasa la saba hayawekwi kwenye mtandao wakuu.
 
Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) limetangaza matokeo ya darasa la Saba mwaka 2014 ambayo yameonyesha ongezeko la ufaulu wa asilimia 56.99 tofauti na ufaulu wa mwaka jana wa asilimia 51.6

Akitangaza matokeo hayo jijini Dar es salaam leo Novemba 5, 2014 Katibu Mtendaji wa Baraza la mitihani Tanzania, Dk.Charles Msonde, ametaja jumla ya wanafunzi waliojisajili kufanya mitihani kufikia 792,118 sawa na asilmia 98.2 na jumla ya watahiniwa 451 wamepata alama 100 au zaidi huku mkoa wa Dar es salaam ukiogoza.


Wanafunzi 792????? Ni wa shule moja, au?
 
Hivi wanafinzi 792 ndio walifanya mtihani wa darasa la saba....uongo mweupeee
 
yani wanafunzi wa tusiime wote wamepata daraja A wakati kashule kangu ka msingi aliejitahid kapata daraj B na yuko mmoja tu....
angalizo..
usizae ovyo mana elimu imekua gharama siku hzi...
 
asante sn mkuu, ni kweli ki2 kipo kwa hewa, xo big up, naomben pole maana shule angu imekua kati ya 20 mbaya, kwaiyo wale jamaa na kruza zao wata2sumbua kichiz
 
Hatuoni polisi wakiamriwa watumie mishahara yao kujenga vituo vya polisi, hatuoni mahakimu wakijenga mahakama, hatuoni waganga wakijenga hospital, hatuoni wanajeshi wakinunua silaha, hatuoni mishahara ya wahandisi ikijenga barabara, LAKINI MWALIMU mwenye mshahara kiduchu anaamriwa achangie tena bila idhini ujenzi wa maabara ili kutimiza ahadi ya sera za CCM, kodi unayolipa yafanya nini? ZINDUKA MWALIMU PINGA UNYANYASAJI
 
Back
Top Bottom