Matokeo ya chaguzi za udiwani

wana dar es salaam kweli mnatuangusha sana na kwa mwendo huu ukombozi wa nchi yetu tanzania bado tunayo safari ndefu ya kwenda. Siamini leo 2012 bado ccm inaweza kushinda udiwani dsm!! Tulikosea sana makao makuu ya tanzania kuwa dsm. Believe me hata leo ukaitishwa uchaguzi mwanza city, mbeya city au arusha city ccm haiwezi kuambulia hata kata moja. Lakini bado dsm ambayo tulitegemea iwe chachu ya mabadiliko tanzania bado mnaibeba ccm. Wakaazi vijibweni kulikoni?!

wilaya ya temeke ni ngome ya ccm hapa dar. Ndiyo wilaya iliyoko nyuma kuliko wilaya nyingi.
 
jamani mpaka sasa hakuna mwenye updates za matokeo toka kata mbalimbali zilizofanya uchaguzi hapo jana.??
Tuambizane makamanda.
 
Licha ya kupatikana matokeo ya kata hz chache na mshindi wake.
1. Kirumba (mwanza) - chadema.
2. Lizaboni (songea) - chadema.
3. Kiwira (mbeya) - chadema.
4. Vijibweni (Dar) - CCM

5. Chang'ombe (dodoma) - ccm.

6. Msambweni (tanga) - CUF.
.
.
TUNAOMBA TUJUE HUKO KULIKOBAKI.

7. Kiwangwa Bagamoyo - CCM
 
Wana Dar es Salaam kweli mnatuangusha sana na kwa mwendo huu ukombozi wa nchi yetu Tanzania bado tunayo safari ndefu ya kwenda. Siamini leo 2012 bado CCM inaweza kushinda UDIWANI DSM!! Tulikosea sana makao makuu ya Tanzania kuwa DSM. Believe me hata leo ukaitishwa uchaguzi MWANZA CITY, MBEYA CITY au ARUSHA CITY CCM haiwezi kuambulia hata kata moja. Lakini bado DSM ambayo tulitegemea iwe CHACHU ya mabadiliko Tanzania bado mnaibeba CCM. Wakaazi vijibweni kulikoni?!

Tatizo wilaya nzima ya temeke na majimbo yake udini umewakaba koo.
 
Usiwasingizie temeke, hebu taja mbunge au diani wa upinzani maeneo ya upanga, ilala, kinondoni, posta, kigamboni sinza na maeneo kama hayo wanayokaa wajanja wa Mjini
 
ndugu zangu wa dar ninaimaninanyi.kama hamuna uhakika wa maji ya kunywa.kama hamuna uhakika wa kesho mtakula nini,kama hamuna uhakika wa matibabu bora,kama hamuna uhakika wa elimu za watoto wenu,kama munazotaarifa za ufisadi zinazofanywa na makada wa chama tulichokiamini cha ccm.basi ninaamini kura zenu zimeibiwa na hawa wakubwa kama wanavyoiba kodi zetu.mungu atawatoa watu hawa wezi katika chama chetu.naona Nape na wenzake wanajitaidi kuwanyooshea vidole,mungu awape nguvu.ccm fanya maamuzi magumu
 
Wana Dar es Salaam kweli mnatuangusha sana na kwa mwendo huu ukombozi wa nchi yetu Tanzania bado tunayo safari ndefu ya kwenda. Siamini leo 2012 bado CCM inaweza kushinda UDIWANI DSM!! Tulikosea sana makao makuu ya Tanzania kuwa DSM. Believe me hata leo ukaitishwa uchaguzi MWANZA CITY, MBEYA CITY au ARUSHA CITY CCM haiwezi kuambulia hata kata moja. Lakini bado DSM ambayo tulitegemea iwe CHACHU ya mabadiliko Tanzania bado mnaibeba CCM. Wakaazi vijibweni kulikoni?!



Umenena Mkubwa, hata najiulizaga hili swali ila bado sijapata jib, kwanini?:yo:
 
Tatizo ni kwamba,mafoko wa CCM,Usalama,ile top layer yote ya CCM Magamba Government ipo DSM.Kujipanga kuchukua Ubunge na Udiwani inahitaji maandalizi ya hali ya juu.
Ujasusi wa CCM ubawafanya watu wawaogope.
 
Licha ya kupatikana matokeo ya kata hz chache na mshindi wake.
1. Kirumba (mwanza) - chadema.
2. Lizaboni (songea) - chadema.
3. Kiwira (mbeya) - chadema.
4. Vijibweni (Dar) - CCM

5. Chang'ombe (dodoma) - ccm.

6. Msambweni (tanga) - CUF.
.
.
TUNAOMBA TUJUE HUKO KULIKOBAKI.

7. Kiwangwa Bagamoyo - CCM
8. Lagangabilili- Simiyu - CCM
9. Arumeru Mashariki (Ubunge) Chadema
 
kaka kumbuka umesema hao Mwanza city, Mbeya City, Arusha city, Hata musoma City, maeneo hayo watu wa huko ni wafanyaji hasa wa kazi na wanaopenda kujitegemea yaani kazi kazi, sasa turudi dar hasa maeneo ambayo wakazi wake wengi wana asili ya upwani, CCM bado inaweza kushinda kwa sababu watu wa sehemu hizo ni wavivu na muda mwingi wanashinda kwenye vijiwe hao kununulika ni rahisi na CCM ndicho inachofanya ona Manzese uchaguzi wa 2010 CCM kitongoji kile ilishinda lakini the rest of UBUNGO kula kwa CDM.. wakazi wengi wa maeneo haya ya ubungo ni wahamiaji kutoka either mwanza au moshi au mbeya nk, Kule dodoma kweli elimu inahitajika Makamanda wa CDM inabidi kutia timu huko!!!! ila si maanishi watu wote wa pwani ni wavivu
 
Principally CCM imeshindwa kwenye uchaguzi huu zidi ya upinzani hapo patamu tumeanza safari kwa mguu wa kulia maanake ni 5/4 huree
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom