Matokeo ya chaguzi za udiwani

Kayoka

JF-Expert Member
Jun 21, 2011
2,239
1,884
Ndugu wa Jf napenda kuweka thread hii kama kichwa cha habari kinavojieleza.
Tunajua kwamba macho ya kila mtu yalielekeza huko Arumeru na kusahau kuwa kuna chaguzi za udiwani zinafanyika mahali kwingineko lakini mpaka sasa hatujapata matokeo yake.
Wale wenye taarifa zake naomba ushirikiano wa kutujuza hayo matokeo.
 
Licha ya kupatikana matokeo ya kata hz chache na mshindi wake.
1. Kirumba (mwanza) - chadema.
2. Lizaboni (songea) - chadema.
3. Kiwira (mbeya) - chadema.
4. Vijibweni (Dar) - CCM

5. Chang'ombe (dodoma) - ccm.

6. Msambweni (tanga) - CUF.
.
.
TUNAOMBA TUJUE HUKO KULIKOBAKI.
 
aiseee dodoma nako sijue wagogo wale wameishwa nini na ccm?

kule kuna tatizo la watu kuwa na uelewa mdogo na saizi wananyang'anywa ardhi kishenzi eeeti maendeleo, nao wametulia tuu kama mijinga vile.
 
Licha ya kupatikana matokeo ya kata hz chache na mshindi wake.
1. Kirumba (mwanza) - chadema.
2. Lizaboni (songea) - chadema.
3. Kiwira (mbeya) - chadema.
4. Vijibweni (Dar) - CCM

5. Chang'ombe (dodoma) - ccm.

6. Msambweni (tanga) - CUF.
TUNAOMBA TUJUE HUKO KULIKOBAKI.

Wana Dar es Salaam kweli mnatuangusha sana na kwa mwendo huu ukombozi wa nchi yetu Tanzania bado tunayo safari ndefu ya kwenda. Siamini leo 2012 bado CCM inaweza kushinda UDIWANI DSM!! Tulikosea sana makao makuu ya Tanzania kuwa DSM. Believe me hata leo ukaitishwa uchaguzi MWANZA CITY, MBEYA CITY au ARUSHA CITY CCM haiwezi kuambulia hata kata moja. Lakini bado DSM ambayo tulitegemea iwe CHACHU ya mabadiliko Tanzania bado mnaibeba CCM. Wakaazi vijibweni kulikoni?!
 
wana JF vijibweni ni aibu tupu nilienda fanya survey walichokuwa wanajibu hawatoi kura zao mkono mtupu,hakika kuna watu waajabu sana huko.
hizo pesa tsh.25,000 ndo gharama ya maendeleo yenu mnayohitaji hawakuwa na jibu Zaidi ya kuendekeza chukua chako mapema.
 
Inavyoonekana Chadema wamepata viti vitatu vya udiwani pamoja na ubunge arumeru na ccm wamepata vitatu na cuf kimoja,Big up cdm!
 
Back
Top Bottom