Matokeo ya Chadema Kususia Hotuba ya JK na Kuapishwa kwa Pinda

..pamoja na hayo nakuhakikishia hakuna njia ya AMANI na KIUNGWANA ya kupinga uchaguzi na kutetea kuwepo kwa Tume huru zaidi ya hiki wanachokifanya Chadema.

Wewe una akili sana,Lazima utakuwa na PHD GENUINE.
 
Bwn Ruta ni sawa kabisa wanachokifanya CHADEMA. Ni bora jumuiya ya kimataifa wakajua kuwa kuna chama kinapinga jambo baya lililo fanywa na tume ya uchaguzi NEC katika uchaguzi uliopita. Kuwachagulia Watanzania Raisi tofauti na kura halisi za kumchagua Raisi waliye mpenda.
Watu wengine wanakataa kujua au hawataki kujua kinacho endelea tusonge mbele tuu. Aluta Continua.

Happy are those who dream dreams and are ready to pay the price to make them come true. Leon J. Suenes
 
Wakuu,

Hatua ya viongozi wa Chadema kutohudhuria sherehe za kuapishwa kwa Mhe. Mizengo Pinda pale Ikulu ndogo ya Chamwino mnaionaje? Miye ninaiunga mkono kwa asilimia 120. Mtu mzima lazima uwe "Standar" na "Consistent" na mambo yako.
 
John Tendwa akijibu swali la mtangazaji wa ITV aliyetaka kufahamu kwa nini Chadema hawakuhudhuria hafla hiyo ya kuapishwa kwa Pinda kuwa Waziri Mkuu John Tendwa alijikanyaga pale aliposema ..............."uchaguzi sasa umekwisha na yaliyotokea huko yameisha......................."

Hivi yanaisha kienyeji kienyeji tu bila ya kufahamu wezi wa kura wanachukuliwa hatua gani................it seems Mr. Tendwa is for impunity and he does not deserve the ink or the paper to which his job was appointed and confirmed.........
 
Hadi sasa Chadema tuko pamoja NEXT step forward is JK akiingia remain seated once akianza kuongea match out you will make my day.
 
Wakuu,

Hatua ya viongozi wa Chadema kutohudhuria sherehe za kuapishwa kwa Mhe. Mizengo Pinda pale Ikulu ndogo ya Chamwino mnaionaje? Miye ninaiunga mkono kwa asilimia 120. Mtu mzima lazima uwe "Standar" na "Consistent" na mambo yako.

mimi nimependa sana msimamo wao maana hauonyeshi chembe ya unafiki. Wenzao cuf wamesha onyesha wazi kuwa wao wameungana na ccm kwa hyo cuf na ccm lao moja.

Mtoi
 
Wakuu,

Hatua ya viongozi wa Chadema kutohudhuria sherehe za kuapishwa kwa Mhe. Mizengo Pinda pale Ikulu ndogo ya Chamwino mnaionaje? Miye ninaiunga mkono kwa asilimia 120. Mtu mzima lazima uwe "Standar" na "Consistent" na mambo yako.

Nitawasaport by 1000% wakitoka nje ya Bunge kikwete atakapoanza kulihutubia bunge.
 
Bwn Ruta ni sawa kabisa wanachokifanya CHADEMA. Ni bora jumuiya ya kimataifa wakajua kuwa kuna chama kinapinga jambo baya lililo fanywa na tume ya uchaguzi NEC katika uchaguzi uliopita. Kuwachagulia Watanzania Raisi tofauti na kura halisi za kumchagua Raisi waliye mpenda.
Watu wengine wanakataa kujua au hawataki kujua kinacho endelea tusonge mbele tuu. Aluta Continua.

Happy are those who dream dreams and are ready to pay the price to make them come true. Leon J. Suenes

Jumuia ya Kimataifa itawasaidije katika hili? WATANZANIA wenyewe ndio watakaoibadili hii hali tuliomo. Jumuia ya kimataifa inachoweza kufanya ni kama ulivyoona Zimbabwe, Kenya na hivi juzi Zanzibar. Mnataka Dr Slaa apewe Umakamu au Uwaziri Mkuu?
 
Hii inanikumbusha mambo niliyoyaona kwa jirani yangu mmoja ambaye alifiwa na mme wake. Baada ya muda wa miaka kama miwili hivi mama yule akampata mwanaume mwingine ambaye kiumri alikuwa karibu sawa na wanae aliozaa na marehemu mumewe. Vijana wake wakaonyesha dhahiri kutokubaliana na mama yao juu ya "baba yao" huyo wa kambo. Mama hakuwasikiliza hata kidogo. Ghafla siku hizi nawaona vijana wale ni marafiki wakubwa na huyo baba yao wa kambo. Amewasaidia mambo mengi tu.

kwa hiyo unataka kusema sisi chadema tumkubali huyu baba wa kambo (jk)?
 
sipati picha atakapoanza kuongea tu! wakatoka nje, hivi hawezi kuamuru wakamatwe na kuwekwa ndani?
 
Jamani siyo vizuri kusema lakini kwa maoni yangu binafsi nimeona viongzi wengi waalikwa wana mabaka usoni.....................sijui hii nayo ni sifa ya kupata ulaji kwenye hii serikali ya CCM.......................ila sitayataja majina yao..............................mnisamahe tu kwa hilo......................hizi afya zao zaonekana zina mushkeli mkubwa...........................wenzangu mnaonaje kwenye hilo?
Hayo ni mabaka ya nini? na yametokana nini, kama unafahamu.
 
ITV wamethibitisha ya kuwa Wabunge na uongozi wote wa juu wa Chadema haujaja kwenye hafla hii kwa hiyo hii sasa siyo tetesi tena ila ni ukweli mtupu...kuwa Chadema wamesusa hafla hii kabisa...................

Vp wale wa CUF , Mrema, Cheyo nao wapo?
 
Back
Top Bottom