Matokeo ya Chadema Kususia Hotuba ya JK na Kuapishwa kwa Pinda

Rutashubanyuma, nadhani Chadema wanaweza wasimtambue rais, lakini haimfanyi rais asiwe rais, vivyo hivyo kumtaa Pinda pia hakumfanyi asiwe PM, ila kwa upande wa Pinda, watake wasitake, ni lazima wamtambue vinginevyo hawawezi kufanya chochote Bungeni, kwa vile PM ndiye mkuu wa shughuli za serikali bungeni, bila Pinda hakuna serikali, bila serikali, hao waunge wa Chadema, watakuwa wanafanya nini bungeni?.

Wakiamua kesho wanaweza kutoka nje, kususia hotuba ya rais kulihutubia bunge, na akimaliza linaahirishwa mpaka January 25, ambapo Chadema lazima waingie Bungeni, na wakisusia, hatua kazi za kiutendaji zitafuata.

Ngoja nikukumbushe kidogo Miaka 4 kabla ya Moi Kustaafu kule kenya alikutana na msekemseke kama huu na ndivyo ulivyomkuta Mugabe, Na ndvyo ulivyo mkuta Commandoo na Karume Zanzibar na matokeo yake umeyaona sasa, Sasa sikuelewi kama na wewe una mawazo kama ya hao wazeee wa CCM tuambia humu kuna CCM vijana na wanachama wengine wa CCM hawapendi kabisa serikali inayoongozwa na JK ingawa na wao ni CCM kunapo fika wakati wa Democrasia makini jamani tuwe makini na tusiwe washabi wa AMINI bila Kuwepo kwa HAKI. Jaribuni kuelewa kwanini CHADEMA waligoma au kususia Hotuba ya Rais ni Sababu za Kuwa na NEC isiyo huru kwa matokeo yale tata unategemea nani akubali fulani ni rais.

Sio sisi tu ndio kuwa hatujui demeocrasia nani anata mambo ya ndio mzeee wakati huo umekwisha ndugu

 
Back
Top Bottom