Matokeo ya bunge la leo, CHADEMA 5,NCCR 2 na CCM 1

Japo kuwa nina kichwa ngumu kuelewa mbona hii nimeielewa?
Bila shaka wewe utakuwa umeelewa zaidi.

Nataka tu kuelewa kwani hapa vast muda mwingi nilikuwa napambana na sp, sasa kufukuzwa mjengoni ni moja wapo ya vigezo, au ni yale maneno makali ya mchungaji anayetaka kuwaombea wazinzi hii nimeipata kwenye u-tube jioni hii, kama kuna zingine kali tupewe, ili tulinganishe kwa usawa kuna watu kama akina filikunjombe sijawasikia, wanaweza wakaipaisha ccm katika hii match
 
Ni mewmona Mch Msingwa kipindi cha jioni anastahili pongezi kwa kutoa semina elekezi kwa wabunge Dhaifu wa ccm,
 
Kikao cha bunge ndo kimemalizika muda si mrefu na matokeo ni CHADEMA 5 NCCR 2 CCM 1.Kutokana na michango mizuri ya wabunge wa CHADEMA kama akina mchungaji Msigwa,Naomi Kaihula,John Mnyika,Chiku Agwao na Christina Lissu,kwa kweli CHADEMA wamewakandamiza kweli CCM,wabunge wa NCCR kama vile David Kafulila na James Mbatia wameshika nafasi ya pili,chama cha mapinduzi kimepata moja kwa kuwa wabunge wake akina Lusinde wamekalia majungu wabunge kumi wa CCM waliojitahidi kuongea ndo wamefanya chama chao kupata hiyo kura moja.

Ha'ha'ha umenena'
 
Back
Top Bottom