Matokeo ya bunge la leo, CHADEMA 5,NCCR 2 na CCM 1

Landala

JF-Expert Member
Dec 24, 2010
997
473
Kikao cha bunge ndo kimemalizika muda si mrefu na matokeo ni CHADEMA 5 NCCR 2 CCM 1.

Kutokana na michango mizuri ya wabunge wa CHADEMA kama akina mchungaji Msigwa,Naomi Kaihula,John Mnyika,Chiku Agwao na Christina Lissu,kwa kweli CHADEMA wamewakandamiza kweli CCM,wabunge wa NCCR kama vile David Kafulila na James Mbatia wameshika nafasi ya pili,chama cha mapinduzi kimepata moja kwa kuwa wabunge wake akina Lusinde wamekalia majungu wabunge kumi wa CCM waliojitahidi kuongea ndo wamefanya chama chao kupata hiyo kura moja.
 
Majaji walikuwa akina nani? na ni vigezo gani vilitumika kutoa huo ushindi
 
Watanzania mmeshasahu maana ya bunge la bajeti. Badala ya kujadili vyanzo vya mapato na vipaumbele vya matumizi, mnajadili chama gani kimepata point!!!
 
Kikao cha bunge ndo kimemalizika muda si mrefu na matokeo ni CHADEMA 5 NCCR 2 CCM 1.Kutokana na michango mizuri ya wabunge wa CHADEMA kama akina mchungaji Msigwa,Naomi Kaihula,John Mnyika,Chiku Agwao na Christina Lissu,kwa kweli CHADEMA wamewakandamiza kweli CCM,wabunge wa NCCR kama vile David Kafulila na James Mbatia wameshika nafasi ya pili,chama cha mapinduzi kimepata moja kwa kuwa wabunge wake akina Lusinde wamekalia majungu wabunge kumi wa CCM waliojitahidi kuongea ndo wamefanya chama chao kupata hiyo kura moja.
===================

SIPATI PICHA, KUMBE WINGI WA CCM BUNGENI :llama:SIYO HOJA, 'QUALITY IS BETTER THAN QUANTINTY'.
 
Watanzania mmeshasahu maana ya bunge la bajeti. Badala ya kujadili vyanzo vya mapato na vipaumbele vya matumizi, mnajadili chama gani kimepata point!!!

marco,,,unajua wanasiasa wanachokifanya KUTUMIA BUNGE KAMA SEHEM YA WAO KUONESHA WANAWEZA KUZUNGUMZA,,,HIVI LEO WABUNGE WANGAPI WAMEHIT POINT(JUU YA BAJETI)NA SI VIJEMBE
 
Kikao cha bunge ndo kimemalizika muda si mrefu na matokeo ni CHADEMA 5 NCCR 2 CCM 1.Kutokana na michango mizuri ya wabunge wa CHADEMA kama akina mchungaji Msigwa,Naomi Kaihula,John Mnyika,Chiku Agwao na Christina Lissu,kwa kweli CHADEMA wamewakandamiza kweli CCM,wabunge wa NCCR kama vile David Kafulila na James Mbatia wameshika nafasi ya pili,chama cha mapinduzi kimepata moja kwa kuwa wabunge wake akina Lusinde wamekalia majungu wabunge kumi wa CCM waliojitahidi kuongea ndo wamefanya chama chao kupata hiyo kura moja.

Kumbe JF napo wapo ma***zi km aliosema mnyika
 
Pale naona ni wapinzani kwa ujumla wao dhidi ya CCM, kama alivyowasilisha Mkosamali ni true kabisa hawa magamba wameshindwa kila sehemu.

hoja za baadhi ya wabunge wa ccm zina mashiko 25%..mashiko 35%chadema nccr 20%..tlp20
 
Majaji walikuwa akina nani? na ni vigezo gani vilitumika kutoa huo ushindi

majaji ni wananchi mbali mbali waliolifuatilia bunge la leo na vigezo ni hoja mbali mbali walizochangia wabunge.
 
mm kama mwana ccm chadema mpo juuuuu sana na natafuta kadi ya chadema kuanzia kesho kweli tumeishiwa hatuna hata cha kuongea.
 
Back
Top Bottom