Matokeo ya awali kwa waliochaguliwa kujiunga vyuo vya afya

kilagane

New Member
Sep 9, 2014
3
0
Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) linapenda kuwaarifu wote walioomba kujiunga na kozi mbalimbali za afya kwa ngazi ya Cheti (Astashahada) na Diploma (Stashahada) kupitia Mfumo wa Udahili wa Pamoja (CAS) kuwa, Uteuzi wa awali umefanyika na waombaji 9306 kati ya 21228 wameteuliwa kujiunga na vyuo mbalimbali. Matokeo ya uteuzi huo yanapatikana katika kurasa binafsi (Profiles) za waombaji.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom