Elections 2010 Matokeo ya awali kutoka Kilimanjaro

Mzee wa Moshi tupatie matokeo ya Boma Ngombe, Mula, Lemira , Mbosho ...Huko ndiko kuna population ya watu wengi .
 
Hai kituo cha Ofisi ya kijiji Kwasadala 1
Urais: ccm 118, CHADEMA 77

Ubunge: Fuya 75, Mbowe 118

Udiwani:ccm 87, CHADEMA 106

JAmani haya matokeo kidogo yananipa kizunguzungu, nasikia 'harufu ya panya'... Kura za Freeman zinafana na za JK na za Fuya zinakaribiana na za Slaa, hapa panahitaji uchambuzi wa kina kwa wenyeji tufahamisheni.
 
Duh mi tumbo joto kama nimegombea mimi, yani leo ucngizi umepaa matokeo nilivyo yapania, naimani mungu hawezi muaibisha mtumishi wake jamani.
 
JAmani haya matokeo kidogo yananipa kizunguzungu, nasikia 'harufu ya panya'... Kura za Freeman zinafana na za JK na za Fuya zinakaribiana na za Slaa, hapa panahitaji uchambuzi wa kina kwa wenyeji tufahamisheni.

noted..............Chadema wafanyie kazi hiyo kitu...................
 
Jimbo la Moshi Mjini kama mnavyoona maeneo mengine limechukuliwa na Chadema kwani kata zilizobaki ni chache ukilinganisha na ambazo wameshashinda. Hivyo halmashauri ya Mji wa Moshi itaongozwa na CHADEMA. Jimbo la Hai bado tunasubiri matokeo.
Bado CHADEMA walikuwa wanaongoza sehemu nyingi Wilaya ya Hai.
Mrema wa TLP anaonekana amechukua jimbo la Vunjo.
Bado taarifa kamili za Moshi vijijini.
 
JIMBO LA HAI

Kituo cha Kata ya Machame Kusini

URAIS
1. Slaa - CHADEMA - 77
2. Kikwete - CCM - 55

UBUNGE
1. Freeman Mbowe - CHADEMA 95
2. Godwin Fuya Kimbita - CCM 39

UDIWANI
1. Richard Mtui - CHADEMA - 98
2. Naseeb - CCM -36

KITUO CHA OFISI YA KIJIJI KIMASHUKU 1.

URAIS
CHADEMA - 50
CCM - 121

UBUNGE.
Freeman Mbowe - CHADEMA - 76
Godwin Fuya Kimbita CCM - 98

UDIWANI
Richard Mtui - CHADEMA - 80
Naseeb - CCM -93

OFISI YA KIJIJI KIMASHUKU 2

Dr. Slaa - CHADEMA 48
Mh. Jakaya Kikwete - CCM-109

UBUNGE -

Freeman Mbowe - CHADEMA - 68
Fuya Kimbita - CCM 93

UDIWANI
Richard Mtui - CHADEMA - 65
Naseeb - CCM -93

MATOKEO YA ROMBO KITUO KIMOJA

MKUU - ITEFURONI

URAIS
CHADEMA - 309
CCM - 301

UBUNGE
Selasini - CHADEMA - 80
Mramba - CCM - 69

UDIWANI
CHADEMA - 38
CCM - 110


NAENDELEA KUKUSANYA TOKA VITUO VINGINE ENDELEA KUANGALIA NITAONGEZA

ccm wamechakachua jamani hapa sielewielewi
 
JAmani haya matokeo kidogo yananipa kizunguzungu, nasikia 'harufu ya panya'... Kura za Freeman zinafana na za JK na za Fuya zinakaribiana na za Slaa, hapa panahitaji uchambuzi wa kina kwa wenyeji tufahamisheni.

Mkuu hapa nilikuwa nahesabu. Hali inakuwa hivyo kwani maeneo mengi ya Hai Dr.hakupita na jana turn out ya vijana ilikuwa ndogo sana. Matokeo ya Kata ya Masama Kusini ni kuwa Diwani ni Issa wa CHADEMA, Ubunge ni kaka wa ukweli Mbowe na Urais jk anaongoza kwa tofauti ya kura chache mno. Nothing fishy here.
 
kituo moshi tekniko
prez
ccm 354
chadema 561
mbunge
cccm 341
chadema 721
diwani
ccm 544
chadema 596
 
Hai-anaongoza mbowe
moshi mjini- anaongoza ndesamburo
vunjo -anaongoza lyatonga mrema
rombo -anaongoza chadema
karatu -anaongoza chadema
 
Back
Top Bottom