Elections 2010 Matokeo ya awali kutoka Kilimanjaro

Pande za huko Kilimanjaro sina shaka napo kabisa.
Chadema itagaragaza vibaya sana. Hapa nilipo nipo njwii nakunguta konyagi kama maji, yaani raha tupu.
Freedom! Freedom! Freedom!
 
Hai kituo cha Ofisi ya kijiji Kwasadala 1
Urais: ccm 118, CHADEMA 77

Ubunge: Fuya 75, Mbowe 118

Udiwani:ccm 87, CHADEMA 106
 
Kuna mtu ana matokeo ya ROMBO??

Rombo mramba ana hali ngumu sana,

Hapa tarakea

URAIS
CHADEAMA 230
CCM 129

UBUNGE

CHADEMA 118
CCM 59


DIWANI
CHADEMA 115
CCM 81


AGANGALIZO
Kuna baadhi wa matokeo nimeshindwa kupata kutoka na kubaduliwa , mapema ndo maana utaona jumla ya matokeo ya Urais ni tofauti na ya diwani na mbunge


MAAJABU YA NGUVU YA UMA
Diwani wa chadema kata ya TARAKEA, amepita bila hata ya kupiga kampeni
 
Matokeo Zaidi toka Hai: kituo cha ofisi ya kijiji Kwasadala 2

Urais: ccm JK 111, Slaa 105

Ubunge Fuya 89,Mbowe 129

Udiwani,ccm 97, CHADEMA 121

Jumlisha Ofisi ya kijiji Kwasadala 1&2.
 
Jimbo la SIHA:::. Namba za majumuisho ya jumla Mbunge Mwanri, kamwacha Engineer Tuni kwa mbali sana. Kata ya Komboko peke yake ndio Chadema wamepata kura zaidi ya CCM, lakini in total Urais na Ubunge CCM wameshinda kwenye jimbo la SIHA.

Madiwani wote wa CCM wamepita, kwa hiyo Halmashauri itakuwa ni CCM tupu.
 
JIMBO LA HAI

Kituo cha Kata ya Machame Kusini

URAIS
1. Slaa - CHADEMA - 77
2. Kikwete - CCM - 55

UBUNGE
1. Freeman Mbowe - CHADEMA 95
2. Godwin Fuya Kimbita - CCM 39

UDIWANI
1. Richard Mtui - CHADEMA - 98
2. Naseeb - CCM -36

KITUO CHA OFISI YA KIJIJI KIMASHUKU 1.

URAIS
CHADEMA - 50
CCM - 121

UBUNGE.
Freeman Mbowe - CHADEMA - 76
Godwin Fuya Kimbita CCM - 98

UDIWANI
Richard Mtui - CHADEMA - 80
Naseeb - CCM -93


OFISI YA KIJIJI KIMASHUKU 2

Dr. Slaa - CHADEMA 48
Mh. Jakaya Kikwete - CCM-109

UBUNGE -

Freeman Mbowe - CHADEMA - 68
Fuya Kimbita - CCM 93

UDIWANI
Richard Mtui - CHADEMA - 65
Naseeb - CCM -93



NAENDELEA KUKUSANYA TOKA VITUO VINGINE ENDELEA KUANGALIA NITAONGEZA
Hizo za kijani :nono:
 
JIMBO LA HAI

Kituo cha Kata ya Machame Kusini

URAIS
1. Slaa - CHADEMA - 77
2. Kikwete - CCM - 55

UBUNGE
1. Freeman Mbowe - CHADEMA 95
2. Godwin Fuya Kimbita - CCM 39

UDIWANI
1. Richard Mtui - CHADEMA - 98
2. Naseeb - CCM -36

KITUO CHA OFISI YA KIJIJI KIMASHUKU 1.

URAIS
CHADEMA - 50
CCM - 121

UBUNGE.
Freeman Mbowe - CHADEMA - 76
Godwin Fuya Kimbita CCM - 98

UDIWANI
Richard Mtui - CHADEMA - 80
Naseeb - CCM -93

OFISI YA KIJIJI KIMASHUKU 2

Dr. Slaa - CHADEMA 48
Mh. Jakaya Kikwete - CCM-109

UBUNGE -

Freeman Mbowe - CHADEMA - 68
Fuya Kimbita - CCM 93

UDIWANI
Richard Mtui - CHADEMA - 65
Naseeb - CCM -93



NAENDELEA KUKUSANYA TOKA VITUO VINGINE ENDELEA KUANGALIA NITAONGEZA

Nimeongeza machache ya Jimbo la Hai naendelea kukusanya mengine toka Jimbo hilo pamoja na majimbo mengine nitaweka hivi karibuni.
 
Najuuta kuahirisha kununua wireless modem ya Zain jana.

Inabidi niende home nikaangalie 'urongo' wa TV

Mkuu, nimecheka ,lakini nimekuonea huruma pia. Mwenzio hapa nimeweka 2gb kwa ajili ya usiku huu ... mpaka tujue mwisho ukoje. na crate ya serengeti iko pembeni, na sato wakubwa wawili! teh teh teh
 
MATOKEO YA ROMBO SEHEMU KUBWA SELASINI ANAONGOZA NAENDELEA KUPOKEA TAARIFA NITAWAPASHA HABARI. Hai tayari Chadema imeshashinda kata 2 za udiwani Machame Kaskazini na Hai Mjini. Moshi Mjini Ndesamburo anaongoza bado. Taarifa nitaweka ninapoendelea kupokea.
 
Moshi mjini nasikia kuwa CHADEMA imeshinda viti vya madiwani 16
 
jamani wahusika plz wekana haya matoko yoote ktk jedwali ili iwe rahisi fuatilia kwa mwendo huu wengine tutakufa kwa presha inabidi tujue mgombea wetu dr anaendeleaje,yaani by the tim NEC wanataka chakachua total results sie tayari tuwe na majibu ili wa think twice tudanganya...ila usiku mrefu jamani i can imagine now ccm inafanya nn
 
Moshi Mjini (kata ya Rau)
Kituo Rau Zahanati
Dr 375
JK 198

Kituo Rau Shule
Dr 90
JK 30

Ubunge usiulize Chadema wame retain. and this time Manispaa ya Moshi ni CHADEMA
 
jamani wahusika plz wekana haya matoko yoote ktk jedwali ili iwe rahisi fuatilia kwa mwendo huu wengine tutakufa kwa presha inabidi tujue mgombea wetu dr anaendeleaje,yaani by the tim NEC wanataka chakachua total results sie tayari tuwe na majibu ili wa think twice tudanganya...ila usiku mrefu jamani i can imagine now ccm inafanya nn

Mkuu unafahamu jedwali linataka excel na kuweka kwenye mtandao ni kazi kubwa sidhani kama hilo linawezekana kwa kasi hiyo lakini naona matokeo kwingine kama hayaji kulikoni?
 
Back
Top Bottom