Elections 2010 Matokeo ya awali jimbo la Kilombero na matukio ya ajabu

Status
Not open for further replies.
Jana tulipata tu tetesi na matokeo ya awali, hadi leo Kilombero vipi? watu walio na taarifa tujuzeni tafadhali.
 
Yaa, naombeni updates zaidi ili watu tushangilie jamani hadi sasa vipi??
 
aisee taarifa zisizo rasmi ni zakusikitisha kwani CCM inasemekana imeshinda,ila matokeo bado hajatangazwa,nitawapa update kama kuna mabadiliko
 
Wajameni Chadema mlioko Kilombero wana wa ccm wanachakachua matokeo hawataki kutangaza matokeo Mteketa nasika kaongoza kwa kidogo sana pale ifakara tena kituo kimoja kibao ifakara sasa wana sua sua kutangaza matokeo.

Tusaidieni mliopo Kilombero ndugu zenu wa malinyi siku nyingi wamemaliza kazi tuliyo waomba waifanye na sasa Prof.Mlambiti yuko juuuuuu..

Dada yetu anahangaika sana wanakilombero msaidiani.
 
Bila ya kutangaa matokeo haraka hisia za kuchakachua ziwe za kweli au la zitatanda mno na kuhatarisha usalama wa taifa......
 
Kiukweli wanafanya hivyo maana kwanini watulie kimya.
Hawa wezi ndo wanahatarisha usalama, mbona wenzao wamshindwa na kukubali wazi kabisa!
 
chonde chonde wana Kilombero kazi bado haijaisha lindeni hayo matokeo
Kilombero kuna namna mana tulishashinda kabisa chadema inakuwaje wanachelewa kuliko sehemu zingine?
Wanakilimero tueni taarifa jamani
 
jamani wanakilombero wengi ni wanafki na wengi wao hata vitmbulisho walikuwa hawana,na tutaendelea kutembea kwenye barabara ya vumbi mpaka tukome,na kununua sukari bei ya juu,"£$%$"%^ 100% nimecomfused:A S angry:
 
Confirmed CCM wameshinda kwa taabu! Margin ndogo nadhani chakachua imefanya mambo!
 
Wajameni Chadema mlioko Kilombero wana wa ccm wanachakachua matokeo hawataki kutangaza matokeo Mteketa nasika kaongoza kwa kidogo sana pale ifakara tena kituo kimoja kibao ifakara sasa wana sua sua kutangaza matokeo.

Tusaidieni mliopo Kilombero ndugu zenu wa malinyi siku nyingi wamemaliza kazi tuliyo waomba waifanye na sasa Prof.Mlambiti yuko juuuuuu..

Dada yetu anahangaika sana wanakilombero msaidiani.

CCM wanapenda kweli kutawala watu masikini wa fikra
 
Duh!!hii ni balaa kubwa,jamani tuendelee kulinda matokeo maana kazi bado haijaisha!!!
 
kura ni utu wenu wana kilombero hivyo basi kama utu ulindwavyo tafadhalini lindeni kura zenu ndugu zanguni wana kilombero!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom