Matokeo Ni saa 8 ya Mchana au Saa 8 ya Usiku?

Status
Not open for further replies.
Hii ni aibu kwa nchi, tume, na watawala wote!nakumbuka hadi kufika huu mda zambia walakuwawashatangaza na rupia banda alikuwa ashatoa hotuba ya shukhrani!iweje kisehemu tu cha nchi ambacho jiografia yake haiko kiivyo matokeo bado??
 
lolote toka igunga maana tv zimegoma kuonesha na radio kimya!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Haya haya Kiravu na watu wenu.....

Saa nane ndo hiyo, wa IGUNGA tupeni updates...
 
Ni saa 8 mchana? au saa nane usiku ndio tutapata hayo matokeo?
 
Nahisi kila mtanzania anajua saa nane ni wakati gani..
Inakuaje tume ituambie watatangaza matokeo muda huo lakini hadi sasa sioni lolote likiendelea?
Hii tume vipi?
 
Nafikiri tatizo ni teknnohama lazima uulize wanatumia format gani ya kuhesabu muda. inawezekana walimaanisha saa za Japan
 
Hii nchi kweli hakuna kitu mara matokeo mpaka saa 5 leo mpaka saa 8 kitaeleka leo najua chichim ingekuwa imeshika kata nyingi ungekuta wameshatangaza lakini kwakuwa cdm ndiyo wako juu ndiyo inawapa shida waangalizi mlioko huko igunga msiogope hiyo mibomu ya machozi wala washawasha huku arusha tu nayasubiria kwahamuu kubwaa
 
kafumu ameshindwa; magamba wamemtia pingu za nyuma; hawezi kusaini. labda asaini kwa kutumia mguu.
 
Tanzania wengi tunavaa saa lakini kujali muda ni kazi kweli kweli, akikwambia saa nane ongeza saa yani saa 9
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom