Matokeo mawili makubwa ya kili music award

Profesa

JF-Expert Member
Oct 28, 2010
905
624
1. Kukua kwa Muziki wa asili wa Taarab (ukiacha mipasho) na kurudi kwa wanamziki wa zamani wa taarab katika majukwaa ya burudani

2. Kuongezeka kwa ushindani na upinzani mkubwa kati ya Sikinde na Msondo, na kuongezeka kwa ushabiki wa bendi zetu za asili kutoka kwa vijana wa sasa ambao wengi walikuwa wametekwa na ushabiki wa muziki wa bandia wa bongo flavour
 
sasa kwanini usingepost kwa wenzio wanao changia kuhusu kili misic?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom