Matokeo : Manyara stars v/s uganda.....................

yule Julio alikosea sana kujifanya anadedicate lile game aliloshinda kwa wakameruni, aliudedicate ule ushindi kwa Kikwete
 
dah, hiyo ndio imeshakula kwetu tena, kama kawaida mpira wetu ni kwenye midomo tu ila uwanjani hakuna kitu
 
Ndo yale yale mi shazoea jamani TZ yetu hatufiki popote. Labda kucheza viduku ndo inaweza kututoa! achaneni na soccer jamani ramani yenu haisomeki na haitasomeka unless mikakati thabiti ya kuzibiti walafi pale tff.
 
Hivi sisi tunaweza nini jamani? hakuna hata kitu kimoja kinachotupa sifa hapa Duniani!!
 
Tusilaumiane jamani,acheni tu tufungwe,sisi kuna vitu tunaviweza kama,ulevi,majigambo,fitina,majungu,ujuaji,ushirikina,ujanja ujanja,uzinzi na uasherati (siku hizi haya yamepewa jina nyororo yanaitwa,Ngono zembe/Ngono salama) japo matemdo yanabaki yaleyale maovu UZINZI/UASHERATI
 
Hongera Manyara Star kutolewa kwani hamjui soka! Tunahitaji kujitambua kwanza sisi watz, hatuna kitu cha kujivunia zaidi ya kusema ooooo tuna wanyama (wanaofisadiwa na wahuni wachache) mara mlima kilimanjaro ( nao unajulikana uko kenya) basi vingine hatujulikani, porojo kibao, nchi haina cha kujivunia,serikali inafanya kitu kile kile (jenga barabara mara shule mara upupu) miaka nenda rudi. Hatufanyii kazi research za wenzetu tuliowatuma wakasome ili tuutumie ujuzi wao.

Viwanja tunavyo, vimebaki vya kufanyia siasa za maji taka!! Manyara Star to hell! JKT irudi tu watu warudishe uzalendo siyo huku. TFF nao tiketi zinauzwa kimachinga machinga, unaenda kununua tiketi ya 5000, unaambiwa 10000, utazungushwa weeee hadi unaamua kununua tu ya 5000 kwa 10000. Mi wananiacha hoi.
 
Tusilaumiane jamani,acheni tu tufungwe,sisi kuna vitu tunaviweza kama,ulevi,majigambo,fitina,majungu,ujuaji,ushirikina,ujanja ujanja,uzinzi na uasherati (siku hizi haya yamepewa jina nyororo yanaitwa,Ngono zembe/Ngono salama) japo matemdo yanabaki yaleyale maovu UZINZI/UASHERATI

hivi jamani hii TBC1 mbona wanaweza kurusha upupu wa CCM alafu wanaacha kutuletea matangazo ya mechi zetu live?tuwafanyeje hawa TBC,mpaka mechi ya leo hawataka kutuonyesha badala yake wanarusha nyimbo za mipasha na filamu za kikuda
 
Hiyo ni TV ya kijima
 
Back
Top Bottom