matokeo MALAWI vs SUDAN

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,492
54,890
sasa hivi ni kipindi cha pili. sudan wanashambulia sana na malawi wanazuia. Sudan wanacheza kwa malengo na mpira wa akili zaidi.
hadi sasa hivi dak 21 kipindi cha pili
MALAWI 0 - SUDAN 0.
Mia
 
Beki wa malawi wamekaa vizuri sana, hawapitiki kilahisi. mia
 
sudan wamekosa goli la wazi baada ya kupigwa kona na kipa kutokea mpira akaukosa goli likabaki wazi ambapo aliyepiga kichwa alipiga nje wakati golini hamna mtu. ni dk ya 32. mia
 
mchezo wa leo mgumu kila timu inatumia nguvu. leo malawi wamekamatwa. sudan wanaonyesha kabisa kwamba wana kocha. mia
 
hawa sudan wamefuzu kucheza fainali za africa ambao wanaungana na wenzao wa libya ambao walifuzu kucheza fainali za africa wakati nchini mwao kuna vita. libya michezo yao yote walichezea ugenini. mia
 
kesho saa nane ni zanzibar na somalia katika mchezo wao wa mwisho, saa kumi ni Burundi vs Uganda.
 
kama mchezo utaisha bila kufungana basi malawi watakuwa wanaongoza kundi hili. mia
 
Back
Top Bottom