MATOKEO kutoka vituo mbalimbali, Arumeru Mashariki

Status
Not open for further replies.
s/m usa river cdm 111,ccm 37
embaseni A cdm 104,ccm 52
leganga sm cdm 146,ccm 20
tengeru chuoni cdm114,ccm 24
tengeru hospt cdm 220,ccm 40
kikuleto ofisini cdm 104,ccm 84
sm leganga cdm 142,ccm 22
magadilisho sm A cdm 116,ccm 37
B cdm 111,ccm 34
majiachai A,B,C,D,E cdm 573,ccm 276
ngwandua(chama,ushirika na mwivaro) cdm 507,ccm 150
usa river sokon 1 na 2 cdm 191,ccm 70​


 
lakini nasikia huko tengeru zinpaigwa kati ya ccdm na ccm baada ya gari ya ccm kuonekana inaelekea hospitali ya wilaya labda kutengeneza comedy ya matokeo
 
s/m usa river cdm 111,ccm 37
embaseni A cdm 104,ccm 52
leganga sm cdm 146,ccm 20
tengeru chuoni cdm114,ccm 24
tengeru hospt cdm 220,ccm 40
kikuleto ofisini cdm 104,ccm 84
sm leganga cdm 142,ccm 22
magadilisho sm A cdm 116,ccm 37
B cdm 111,ccm 34
majiachai A,B,C,D,E cdm 573,ccm 276
ngwandua(chama,ushirika na mwivaro) cdm 507,ccm 150
usa river sokon 1 na 2 cdm 191,ccm 70
 
Hakuna vijiji huko manake CCM huwa wanaibukia vijijini! Yanaanza ya mjini yakija ya vijijini unakuta inaongoza?
 
Na hili giza, tunahitaji magari ya kumulika vituo ambavyo havijabandika matokeo,
 
kituo cha nshapu 3 kata ya nkoaranga...chadema 110,ccm 74
kituo cha ngarasero a4..chadema 116, ccm 51
kituo afp - chadema - 141 ccm - 32 mbovu
hv jamani nchi hii bado kunawatu wengi bado wanaipigia ccm.
Mimi nataka ifike wakati cdm 150 ccm 2
kwanza mgombea mwenyewe hajipigii anataka apate toka wapi!?
 
My Take:

Vituo hivi vya awali ni vile ambavyo CDM ina washabiki wengi, angalieni msije kufa kwa presha! USA river kila siku wana ccm wanazomewa sasa unategemea matokeo gani? Jipeni moyo ila hatutaki fujo!
 
Mpaka sasa...

Kituo cha Shule ya Msingi Misufini, Kata ya Mbuguni CCM 72, CDM 132 wapiga 203, hakuna kura iliyoharibika.

Makiba Majengo 02, CCM 87, CHADEMA 93, Ofisi ya Kata Majengo (Makiba) 04, CHADEMA 75, CCM 88, DP 2 jumla 166, iliyoharibika 1.

Kituo cha Shule ya Msingi Ambureni O2, DP 1, AFP 1, CCM 47, CHADEMA 194,

Usa River Shule ya Msingi CHADEMA 111, CCM 37

Kituo kingine Makiba, CHADEMA 23, CCM 95,

Ofisi ya Kata Makiba CCM 107, CHADEMA 127,

Shule ya Msingi Miembeni namba 01, CCM 103, CHADEMA 96

Leganga A CHADEMA 142, CCM 26,

Leganga B, CHADEMA 131, CCM 27
 
Aisee nimepata vipele vya baridi ghafla ..cdm hakika n nguvu ya umma..
 
ni spirit ya kipekee kabisa wana Arumeru wanatufundisha. Ni kwamba kama wana CDM wakitaka kutoibiwa kura zao wanaweza. Kura zimelindwa hadi dakika ya mwisho. Cha msingi ni kuendelea kuzilinda kwani mbinu za kipekee zaweza kutumika katika hatua za mwishomwisho kabisa

Hongera Makamanda Dr slaa,Mbowe Nyerere na wengine nisiowataja waliofanikisha ulinzi wa kura! Hureee Dr slaa kwa kuweka wazi mbinu chafu za uchakachuaji kura matokeo tumeyaona! Still tunakueshimu rais wetu mkombozi wa nchi hii,Lusinde asikuumize kichwa ni mchumia tumbo tu,tunamuelewa ni njaa tu inamsumbua,ukiwa sisiemu ni mwiko kusema ukweli na fitina ndio mahala pake::


Lusinde umekwishaaaaaa kijembe weweeeee mie kibelaaaaaaaa matokeo yamecheuaaaaaaaaa nassary huyooo kudadadeki.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom