Matokeo kidato cha sita 2012 yametoka

Nashangaa sana. Wakati kusahihisha kwenyewe hatujamaliza.
 
TBC wamesema kwamba,eti ,alafu, matokeo ya kidato cha sita yametoka. Habari ilikuwa kama vile imepikwa na mtangazaji aliisoma kama kwenye rafu paper. Rafiki yangu ambaye alienda kusahihisha mitihani bado hajarudi , kweli TBC UKWELI NA UHAKIKA ,Ukija kwenye net ni selection za f.5
 
TBC janga lingine la kitaifa
 
Kwa mujibu wa tbc mchana huu matokeo kidato cha sita yametoka na ufaulu umeongezeka.

We uwe unakuwa mtulivu, siyo ulichokisema hapo juu, ndiyo maana mnafeli mitihani kwa kukosea question instructions. Kilichotoka ni form five school allocations for form 4 last year
 
usimhukumu aliyosema ni sahihi kwa mjibu wa tbc MCHANA HUU
 
Jamani kuweni makini wakati mkisikiliza taarifa ya habari, vinginevyo ipo siku mtafanya vioja.Kilichotangazwa ni majina ya waliochaguliwa kujiunga na kidato cha tano 2012 sio matokeo ya form six
 
Tido ni nomaaaaaaaaaaaa!! TBC mmeshindwa kutofautisha selection za form five na matokeo ya form six?
 
Back
Top Bottom