Matokeo kidato cha nne yatatangazwa live tbc1 saa 11!

Ukweli utajulikana 2 but cha muhimu kwa wale mlopga pepa mmsijali mtapasua2.....
 
Hapo kwenye red, umekosea au ndivyo ulivyotaka isomeke na ieleweke hivyo?

Sote tunajua kuwa waziri wakati wo wote ktk mwaka huu a-ta-tangaza matokeo. Tusichokijua na ambacho tunataka kujua ni tarehe gani? Bado hujatupa taarifa ya maana hapa labda ni kutujulisha tu kuwa atakayetangaza atakuwa waziri, taarifa ambayo sio wanayoitaka wanajf kwa sasa.

naona unaonesha uwezo wako kwenye viambishi.sijui matokea yatasadifu huo uwezo wako.
 
Back
Top Bottom