Matokeo kidato cha nne live! what next?

kakakuona40

JF-Expert Member
Oct 3, 2011
300
52
Tusubiri kuona comments za maaskofu maana hali ni mbaya katoka shule zao, kweli nimeamini serikali ya CCM kiboko hakuna wizi tena wa mitihani, Vihiyo watakwisha soon, na ukweli utajulikana.
mfano ni huu hapa chini
kazi kwenu
[h=3]S4011 ST AGATHON SECONDARY SCHOOL
[/h][h=3]DIV-I = 0 DIV-II = 0 DIV-III = 2 DIV-IV = 18 FLD = 16[/h]
 
hii shule lazima itakuwa ya mama rwakatare wa ccm hii!
 
nafikiri kanisa katoliki lifanye uchunguzi wa hizi shule zinazotumia saints.
in reality that dam fuc...k...n school is not managed by kanisa.

lakini pia mkuu umeona top ten eh!! shule ngapi za kanisa zipo. hesabu hallafu uje uniambie.
 
Anayefeli ni nani ni kanisa au mwanafunzi? Mbona kuna shule nyingi za st zimefanya vizuri?
 
Back
Top Bottom