Matokeo kidato cha nne 2013

Mimi nashangaa yanayo ongelewa katika thread hii ni ya kielimu, ila sijapendezwa na mjadala wa baadhi yetu, let us be genuine tunapochangia thread ya mtu AND sometimes silence means wisdom!
 
Kwa kijana anayejitambua huu si muda wa kushinda kwenye mitandao mnaulizia matokeo ni mda wa kupiga kazi mtaani ili hata matokeo hayo yakitoka vizuri uwe na cha kuanzia na sio kuomba pesa mpaka ya boxer kumbuka matokeo ni lazima yaandaliwe taratibu.
 
Back
Top Bottom