Matokeo kidato cha nne 2011

Mwaka huu na mwaka jana sijui afadhali upi. Hata hivyo, 3rd law of motion do apply. Wakati wengine watalia sana, wengine ni sherehe. Na wale viherehere waliokuwa wakisumbua humu jamvini, mtupe matokeo yenu. Hongereni wote mliofuzu
 
haya matokeo yalinisababishia ban,sijui huyu bwana mdogo kafaulu..maana alikua na hasira sana.ila utakua umevuna ulichopanda.
 
Asante sana mkuu,
binti yangu amepata III ya point 22
Je atapangiwa shule.
 
Shule gani kamanda
ndugu sekondari shule ya kata, ila dogo langu limepata div. 3 point 24, issue kombi hazija balance, dah! haya mambo ya private sijui kama ntayaweza.
cheki utaona saimon shekilango richard
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom