Matokeo kidato cha nne 2009

Mkiweka JF itakuwa bora zaidi manake link zingine zote kwa sie huku wa vijijini internet za kuunga unga sana lakini JF inapatika.
 
oyaaa wadau mbona web ya matokeo haifunguki kabisa kuna nini .....huyu jamaa aliye format link ya matokeo mbona inakuwa haifunguki kabisa...
Nimetumia kila njia kuifungua lakini matokeo imeshindikana pls....wadau nina hitaji kuona matokeo ya wadogo zangu kazaaa....
by
mdau Fishbaba..
Mashariki ya mbali..
thanks
 
Semeni shule gani kwa haraka mnahitaji nawawekea fasta hapa JF...

Naziweka ndani ya dakika 10 kama shule 10 hivi... 1 school 1 minute
 
Semeni shule gani kwa haraka mnahitaji nawawekea fasta hapa JF...

Naziweka ndani ya dakika 10 kama shule 10 hivi... 1 school 1 minute
pia mkuu naomba unisaide shule moja yenye namba S3674.. ni st .. millenium.
 
Mimi niwekee makongolosi sec school, chumvi wazazi
duh mkuu pole sana maana nakumbuka tangu jana upo unaitafuta makongolosi sec, natumaini wakubwa watakusaidia coz kwangu huku asubuhi shule zote zilikuwa zinafunguka ila now hakuna kitu.
 
duh mkuu pole sana maana nakumbuka tangu jana upo unaitafuta makongolosi sec, natumaini wakubwa watakusaidia coz kwangu huku asubuhi shule zote zilikuwa zinafunguka ila now hakuna kitu.

Mkuu ni kweli kabisa.......asante!
 
weka namba ya mtu unayemtaka..,nitakusaidia kuku-PM matokeo yake,immmediately.
 
MI MWANZONI ILIGOMA KUFUNGUKA....NILIPOFUATA MAELEKEZO NA MIMI NAJIFANYA MTU WA IT NI FULL KUWAELEKEZA WENZANGU...!
Kumbe kaujanja nimepata JF...!
 
yaani haya matokeo ni balaaa,kila mwaka ni kurudi nyuma,tusipotoa kwenye utumwa wa kiakili walahi taifa lateketea
 
Baraza Mitihani lazuia matokeo ya maelfu kidato cha nne 2009



  • Ni ya wanafunzi zaidi ya 9,000 nchi nzima
  • Wapo wa Ilboru, Azania, Jangwani na Makongo
  • Pia wa shule nyingine zilizotapakaa nchi nzima
Zaidi ya wanafunzi 8,000 waliofanya Mtihani wa Taifa wa kuhitimu kidato cha nne mwaka jana, hawatapata matokeo yao kutokana na kutolipa ada, Baraza la Mitihani (Necta) limetangaza.
Pia miongoni mwa wanafunzi ambao matokeo yao hayatatangazwa na Necta ni waliolipiwa ada na Serikali Kuu katika shule zao, lakini fedha hizo hazijawasilishwa Baraza la Mitihani. Kwa mujibu wa taarifa iliyochapishwa kwenye mtandao wa Necta, zaidi ya wanafunzi 8,000 watakaoathirika kutokana na hatua hiyo wanatoka, shule tofauti zikiwemo zenye ‘majina makubwa' hapa nchini.
Miongoni mwa shule ambazo ada ililipwa na Serikali Kuu lakini fedha hazikufika Necta ni za mkoani Arusha, Dar es Salaam, Dodoma, Iringa, Kagera, Kilimanjaro, Lindi, Mara na mikoa mingine mingi.
Katika orodha hiyo zipo zule kongwe na zenye sifa ya kufaulisha vizuri kwa miaka mingi kama Ilboru, Ubwe, Jangwani, Azania na Pugu.

Fungua chanzo ili upate udaku wote!


Source
 
mkuu Babu Mkubwa kama bado haujafanikiwa unaweza kufungua hicho ki word nimejaribu kuweka humo results za makongolosi coz sina maujanja sana kwenye tech.
 
Kama asilimia 60 ya wanafunzi wanapata div zero na div 4,Inamaanisha taifa limetengeneza dependants wa kutosha mwaka huu.hawa watu milango yote ya kujikwamua kimaisha ndio imefungwa as those results got out,wengi wataishia kufanya low jobs zitakazowawezesha kujikimu mahitaji basic tu.hawatakuwa nwa muda kuhoji kama CCM imetekeleza ilani zake au vipi!nice move CCM,dumbing everybody so you get an easy ride.
 
Jamani naombeni mtu aniwekee hapa .doc ya dodoma secondary S.0306

Net hapa inasumbua kufungua page za hiyo wizara....
 
Back
Top Bottom