Mporipori
Member
- Nov 22, 2010
- 44
- 0
Ni swali ambalo nimekuwa nikijiuliza kwa muda mrefu, wadau naomba mchango wenu.. Hivi vigezo gani vinatumika kuamua kwamba huyu aende shule ya vipaji maalumu na huyu aende shule ya kata..? Na kam vipo, kwa nini vigezo havijawekwa hadharani? & why wengi wenye vipaji wanaachwa wapotelee shule za kata..? na why wanafunzi shule za vipaji kuna baadhi wanapata div. IV na wengine hata div. ZERO...?