Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,470
- 911,173
- Thread starter
- #61
aisee inatosha boss,mpaka macho yanauma
pouwa...........
aisee inatosha boss,mpaka macho yanauma
Mtu anafanya kinachompendeza. Hakuna ubaya.
sifanyi kitu. Navaa kiheshma.
hivi kinachompendeza kumbe kingine hakina heshima?
yap,vingi havina heshima.
shukrani kwa ufafanuzi..............
Kwa hiyo Ruta weye wapendelea cleavage inayochungulia kwa kiasi au sana? maana saa zingine unaeza katiza mtaani unakutana na shosti kanyanyua maziwa karibia yafike kidevu :biggrin: