Matiti yamesinyaa

Maayo

JF-Expert Member
Jul 21, 2011
317
48
Habari wana jf doctor. Mdogo wangu wa kike mwenye miaka 19 ana tatizo la matiti kusinyaa na kulegea kana kwamba alishawahi kunyonyesa. Nimejaribu kumuuliza amesema tangu akiwa primary waliwahi kumuhisi ni mjamzito ikabidi wapelekwe kuchekiwa nurse alipo angalia matiti yake alisema ametoa mimba ilhali kipindi hicho hakuwahi hata kufanya mapenzi. Hata alipokutana na mpenzi wake wa kwanza alimshangaa inakuwaje yeye ni bikra wakat matiti yake yanaonyesha kama amewahi kunyonyesha. Hii inatokeaje ndugu zangu?
 
Huenda ana tatizo la flacidioctus.Mpeleke katika Hospitali ya rufaa,watamfanyia kipimo cha Dinozec2.Kuna dawa zinajulikana kitaalamu kama Dinozephinecras ataandikiwa,akitumia titi linainuka saa 6!
 
Ahsante kwa ushauri.
 
Good Luck. Mwambie awache kujichezea mwenyewe. Nafahamu kuwa ni tamu lakini hayo ndiyo matokeo yake.
 
Ni maumbile tu anapata yeyote mi mama yangu ana umri ova 50 lakini matiti yamesimama uwezi amini
 
Huenda ana tatizo la flacidioctus.Mpeleke katika Hospitali ya rufaa,watamfanyia kipimo cha Dinozec2.Kuna dawa zinajulikana kitaalamu kama Dinozephinecras ataandikiwa,akitumia titi linainuka saa 6!

da,afadhali nimepita hili jukwaa leo.mie wala sihitaj vipimo doct ngoja nkanunue dawa kabisa maana kama yatarud kuwa saa 6,sijui niombe nini zaid katika dunia hii na hivi sikujua km kuna editing ya maziwa..!
angalau nirudishe kale kamvuto kalikoanza kunipotea usawa huu wa maziw
 
Huenda ana tatizo la flacidioctus.Mpeleke katika Hospitali ya rufaa,watamfanyia kipimo cha Dinozec2.Kuna dawa zinajulikana kitaalamu kama Dinozephinecras ataandikiwa,akitumia titi linainuka saa 6!

Hizo dawa ni kweli zinafanya titi linyanyuke?mh aisee hebu elezea my dia
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom