Matiti ya mwanamke kutepeta

Mu-sir

JF-Expert Member
Oct 12, 2010
3,621
1,629
Wakuu habari. Nauliza kama kuna dawa au namna yoyote ya kurudishia matiti ya mwanamke yaliyotepeta (yaliyolala)katika hali yake ya kusimama. Nimeulizwa na nikakosa jibu tafadhali mwenye kujua anijuze..
 
***** wewe ulipokuwa unayakanda na kuyanyonya ulikuwa unajiona kama upo peponi vile!!miraha ilikuwa ni noma sasa yametepeta unataka dawa hata babu wa loliondo hana tiba.
 
surgery can work mazee....
kwa east africa nadhan nairobi ndo wa[po juu kwa utaalam huu, bongo sijui.
 
Acheni hizo. Leo nimeamini ndo mnafanya dada zetu waharibike. Kama kashazeka astafu maravidavi, muda wake umeisha hawezi kurudi nyuma. Ushauri ninao na siutoi.
 
baba hata mswaki ukipiga sana unaisha so na hayo ndivo hivo unajua walio wengi wanakosea jinsi yakudhibiti maziwa wakati wetu wanakuwa kama wanakula ice cream
Conquest-KILOMETRE NYINGI NDIYO KUFA KWA ENGINE
 
Kama unaweza kuusimamisha mkufu basi na maziwa yaliyotepeta kama ndala yanaweza kuwa na dawa ya kuyasimamisha!! Sana sana jitahidi kushikilia na sidilia!!
 
hahaha jamani humu ndani mna visa nyie. Sasa wewe unataka maziwa yasimame yaende wapi? Ameshazaa? Nahisi wewe nayeye wote ni vichaa. Nenda wodi ya mirembe wana tiba mbadala.

Hujui kwa mawanamke maziwa kulala ni heshima, hasa kama una watoto. sasa wewe yasimame ili iweje? Hovyoooooo!
 
Wakuu nashukuru kwa michango yenu but mimi nimeulizwa na mtu na mimi kwa kukosa jibu nimeuliza wana JF wenzangu, sasa kama hujui mbona una challenge mambo yasiyo ushauri? Nashauri ili tusiharibu maana ya JF tuchangie mada zetu kulingana na hoja ilivyoletwa na muhusika. Thanks all kwa kuchangia
 
Back
Top Bottom