Matiti ni Mali ya nani?

nope,sorry,watu kibao wamekuwa wakubwa bila kunyonyeshwa...

si kwamba hawakui,,,,,sijaandika kuwa hawakui,,,,,ila naamini unajua umuhim wa kunyonyesha,,,,no matter una mtoto au lah,,,pia napata picha kuwa huenda hujazaa ndo maana unapiga porojo,,,,,
 
Matiti sio mali ni kiungo tuu kama mguu, mkono au kichwa

Sikuwa na lengo la kuchangia mkuu manyani kilichopelekea mimi kuchangia ni hili jina lako,nitashukuru kama utanieleza japo kwa kifupi kisa cha kutumia jina hilo maana nyani ni mnyama anayenifurahisha sana.Sasa wewe umetumia ma ukimaanisha kundi la nyani...
 
Last edited by a moderator:
mie yangu ni mali yangu ila kwa kuwa yakishikwa yananipa raha,nadhani tuko 50 -50 ownership na mume,lol sitanyonyesha so mtoto hana chake....:A S cry:
Afazali wewe hadi namuonea wivu mumeo
 
mie yangu ni mali yangu ila kwa kuwa yakishikwa yananipa raha,nadhani tuko 50 -50 ownership na mume,lol sitanyonyesha so mtoto hana chake....:A S cry:

huto mtendea haki mwanao!
 
Safi kabisa, usikubali mtu aucontrol mwili wako or kukulazimisha uubadilishe ili uwe kama anavyopenda yeye, mbona yeye humlazimishi ajibadilishe awe kama unavyopenda wewe, nawashangaa kweli hao Wanaigeria, eti matiti ni mali ya Mume wangu, wapuuzi kweli, hata nikupende vipi hutautawala mwili wangu, hutautumia utakavyo wewe, au kutaka niubadilishe utakavyo wewe na mwili wa binadamu hasa ni God's temple, kuna hata wimbo wa Dini sikumbuki jina la muimbaji but ni from USA unasema My Body is God's Temple, but wengi wetu tunaitumia miili yetu kwa kuendeshwa na shetani

yan kunyonya tu na kushika si ndio matumizi yenyewe?
Sidhani kama ni kucontrol, maana hata wanawake wana fanya hivyo kwa uume pia.

Sioni kama kuna shida.
 
nope,sorry,watu kibao wamekuwa wakubwa bila kunyonyeshwa...

Neema unaogopa yatalala.... hahaha bin adamu tuazeeka kulala ya talala tu .. mpe mtoto haki yake ... virutubisho vya ziwa la mama nitofauti na haya ya kutengenewa viwandani ...
 
Neema unaogopa yatalala.... hahaha bin adamu tuazeeka kulala ya talala tu .. mpe mtoto haki yake ... virutubisho vya ziwa la mama nitofauti na haya ya kutengenewa viwandani ...

tell her,,,,anaogooooopa MEWATA italala
 
Nipples sexually speaking are erogenous zone ie sensitive to sexual stimulation. Swali, je mtoto anaponyonya mama husikia utam tam? Forgive my curiosity.
 
Huwa sipendi kutoa siri za dani lakini naona kama umeisha jua nacho kifanya.

ni jambo la busara sana,ambalo vijana wengi LINAWASHINDA NA LITAWASHINDA,WAKIUME NA WA KIKE,WENGI HUTOA SIRI ZA ndani,binafsi maboobs nayapenda sana,,,the best organ which i admire kwa female ni breast,,,,hope asbui iko poa,,,,,
 
Nipples sexually speaking are erogenous zone ie sensitive to sexual stimulation. Swali, je mtoto anaponyonya mama husikia utam tam? Forgive my curiosity.

mama salma aliwah kuwaonya wanawake wanaokataa kunyonyesha eti kwa kisingizio kuwa WATOTO WANAPONYONYA HUWATEKENYA,,,,,,,,
so huenda wakawa wanahisi raha,,,,ila kuna wakat chanel ten waliwah kuripot kuwa huko mkoani KIGOMA kuna baadhi ya jamii zimewaiga waburundi ambao hugawana ziwa na mtoto,mfano ziwa la kushoto ni la mtoto la kulia ni la baba,,,,,,kila mtu ananyonya la kwake
 
Back
Top Bottom