Matiti kuuma

ayo matiti yanakuuma ww yanamuuma mwenzio!! Au kakuomba umuombee msaada??acha ushankupe!!

yakiwa yangu ama yako inakuuma nini mie kuuliza? Unajidai kwa ushankupe wangu hujafaidika na chochote? Taifa likiwa na punda wengne wawili km wewe then itakula kwe2!
 
yakiwa yangu ama yako inakuuma nini mie kuuliza? Unajidai kwa ushankupe wangu hujafaidika na chochote? Taifa likiwa na punda wengne wawili km wewe then itakula kwe2!
sure?????????? Lakni mm sio punda mm ni konokono!!
 
KakaKiiza utau watu kwa 'presha' weye...kansa ya titi ni zaidi ya UKIMWI! Ni kansa mbaya sana sijawahi kuona kwa wanawake, na inaua sana! Haifai kutania...


Kuuma kwa titi wakati wa mimba changa huwa kunaendana na kuvimba kwa titi zima na kuwa gumu gumu hivi (engorged), na inakuwaga kwa sababu titi linajiandaa kutoa maziwa na hivyi breast tissue na msukumo wa damau kwenye titi unaongezeka, na hii huwa kwa matiti yote mawili (yeye anaumwa matiti yote mawili?). Jipu pia hufuatana na kuvimba kwa sehemu kubwa ya titi pia, lakini pale kwenye kichwa cha jipu penyewe panakuwa pako soft hivi, pekundu, na panang'aa fulani hivi, na maumivu yake yanakuwa ya kupwita (throbbing pain), vile vile jipu mara nyingi huwa kwa titi moja tu.

Kansa huanza na mabadiliko ya nipple yenyewe kabla ya mauvivu, na ndio maana mara nyingi huwa inagundulika baadaye kwa sababu maumivu ya kansa huwa yanakuja late baada ya dalili nyingine, na yanafuatana na discharge kama akiminya nipple/titi kama anakamua maziwa hivi yanatoka maji maji au damu (ikiwa damu kimbia haraka hospital kwani kwa kiasi kikubwa ni kansa). Lakini pia nipple inaweza kuwa imebonyea kwa ndani (retracted), kuwa ngumu, appearance ya kama ganda la chungwa (peau d'orange), na mara nyingi inakuwa kwenye titi/nipple moja, sio zote mbili kwa wakati mmoja.

Huwa anafanya 'breast self examination (BSE)'? kama hapana mwambi aende kwa daktari au nesi amfundishe kujiexamine matiti mwenyewe nyumbani, kani anahitaji uangalizi mpaka hiyo hali kuisha au kuhakikisha sio tatizo kubwa kama kansa.

Hivi ndio nilitaka kujibu mimi. Dah! kweli madokta tuna ufikiri sawa.
ubarikiwe sana (source: Miss Judith)
 
Dah Jana demuwangu aliniambia matiti yanauma yamevimba, ngoja nijiandae kukabiliana na kesi
 
Back
Top Bottom