Matibabu ya macho

Mrekebishaji

Senior Member
Mar 19, 2009
168
63
Ndugu zangu,
Naomba msaada wa vitu gani ni muhimu kwa chumba cha kufanya uchunguzi wa macho ya uoni hafifu kiastahili kiwe(necessities for Low Vision Test room to be). Naombeni ushauri. namaanisha mwanga pengine uweje, je mapazia meusi au meupe.
 
Ndugu yangu nafikiri kwa wale madaktari wa macho ndiyo wanajua chumba hicho kiweje. Unataka ukijua uanze kuchakachua kutibu wagonjwa wa macho bila kufuzu?? Mwombe RIWA atakupa ushauri tafadhali.
 
Back
Top Bottom