Matibabu ya maana na ya haraka ni kwa madkatari wenyewe tu!

Humu ndani kuna vichwa vya wendawazimu wengi ambao hata akili za kawaida hawatumii,
Tuwe watu makini wa kufikiri ! kama bajeti ya serikali inayopitishwa na inatolewa robo yake tu unategemea kazi lengwa itakuwaje ? Lipokuja swala la afya kama mwendelezo ni huo huo , madaktari wetu wataziona maiti kila kukicha si kwa sababu wanakataa kutoa huduma hila hawawezeshwi kutoa. Sasa tofauti iliyoko kati ya tiba na elimu ni kuwa hapa kuna kufa na pengine mtu anatoka zuzu tu lakini hafi.Watu wengi hatujui ma dr wetu wanahathirika vipi na hali hii ya kuona vifo vya kutokana na serikali kutowekeza kwenye hii huduma.
Tumia akili kidogo kwa mfano umwambie mwanajeshi aende vitani kwa panga na yeye akubali atakuwa mwenda wazimu na hapo hapo serikali iseme nitakupeleka mahakamani liwalo na liwe utakwenda na huyo mwanajeshi asonge mbele
Ndugu zangu ma Dr hakuna kurudi nyuma , liwalo na liwe afadhari mkalime nyanya kuliko kuingia kwenye kazi isyokuwa na vitendea kazi
 
Back
Top Bottom