Maths Quiz: Tafuta eneo lililotiwa kivuli

4th yr, engineering Udsm. The solution: The shaded area = total area- area of quarter circle= ((1/2x BCx AB) + (IIx AC^2)/2) - IIx AC^2/4 = 8872.9 sqrcm- 1385.4sqrcm= 7487.5 sqrcm

kaka naona unachanganya kanuni;nusu duara eneo ni hiyo kweli??no offence plz try again much respect km nimepotea nielekeze
 
You can actually use any approach, sema JF haina option ya kuweka integral symbol na option za kuandika equations!! MODs, tusaidieni kutuwekea hizi symbols za integral na equations watu wajimwage siyo siasa tu!

Nasikia Ritz kapita hapa akielekea chitchat.vp umeshamuona mkigoma mitaa hii.
 
Vijana swali simple sana hii!!
1)Eneo la triangle ABC
½×56×42=1176cm²
2)Eneo la semicircle AC
½×Π×r²
r=AB/2
By Pythagoras theorem
AB=70cm
r=70/2=35cm
:-area=½×Π×35²=1825cm²
3)Eneo la Robo duara BC
¼×Π×42²=1386cm²

Turudi kwenye swari sasa
SHADED AREA=(Eneo la triangle ABC+Eneo la semicircle AC)-(Eneo la robo duara BC)
=>Numerically
Required area
=[(1176+1925)-1386]cm²
=(3101-1386)cm²
=1715cm²
:-The shaded area is 1715cm²
 
4th yr, engineering Udsm. The solution: The shaded area = total area- area of quarter circle= ((1/2x BCx AB) + (IIx AC^2)/2) - IIx AC^2/4 = 3100.2255 sqrcm- 1385.4sqrcm= 1714.4855 sqrcm
Unasema uko mwaka wa nne Uhandisi, Chuo Kikuu DSM? Janga la taifa!

Umejuaje hiyo pembetatu ina angle yenye nyuzi tisini? Na umejuaje hapo kuna nusu duara? No wonder tunahitaji wachina mpaka kutusaidia kujenga vivuko vya mito.

Swali halijibiki.
 
Hivi:[(Πx(BA-BC)x(BA+BC))+(4xBCxBA)]/8 where Π=3.1415926536, BA=56cm and BC=42cm

4th yr, engineering Udsm. The solution: The shaded area = total area- area of quarter circle= ((1/2x BCx AB) + (IIx AC^2)/2) - IIx AC^2/4 = 3100.2255 sqrcm- 1385.4sqrcm= 1714.4855 sqrcm

Wakuu! Assumptions ni mhimu kuweka, Mfano: The triangle ABC is not stated to be a right, however most of the attempters are babtizing the triangle ABC to be the right angled!!
 
Hivi:[(Πx(BA-BC)x(BA+BC))+(4xBCxBA)]/8 where Π=3.1415926536, BA=56cm and BC=42cm

Unasema uko mwaka wa nne Uhandisi, Chuo Kikuu DSM? Janga la taifa!

Umejuaje hiyo pembetatu ina angle yenye nyuzi tisini? Na umejuaje hapo kuna nusu duara? No wonder tunahitaji wachina mpaka kutusaidia kujenga vivuko vya mito.

Swali halijibiki.
Mkuu swali linajibika, you just have to make some intelligent assumptions!
 
Vijana swali simple sana hii!!
1)Eneo la triangle ABC
½×56×42=1176cm²
2)Eneo la semicircle AC
½×Π×r²
r=AB/2
By Pythagoras theorem
AB=70cm
r=70/2=35cm
:-area=½×Π×35²=1825cm²
3)Eneo la Robo duara BC
¼×Π×42²=1386cm²

Turudi kwenye swari sasa
SHADED AREA=(Eneo la triangle ABC+Eneo la semicircle AC)-(Eneo la robo duara BC)
=>Numerically
Required area
=[(1176+1925)-1386]cm²
=(3101-1386)cm²
=1715cm²
:-The shaded area is 1715cm²

Mkuu, triangle ABC is not stated to be right angled, you should change your approach instead of pythagoras theorem! May be try integration method (Like numerical methods) or the sine and cosine rules!!
 
then 1715 sq cm limeisha hili wa ukenyenge una jingine???
Mmmmhhh mbona hujasema umelipataje? Harafu naona watu mnaliona vibaya hilo lipembe tatu (Je ni kweli hiyo pembe tatu ni pembe tatu mraba? na kama jibu ni ndiyo, kwa vigezo gani?)!! Pia nusu duara naona watu wanaibatiza tu! kama ni nusu duara muonyeshe logics za kuiita nusu duara!!
 
Mtasababisha watu wakimbie humu ndani kwa post kama hizi

Hapana mkuu, tunaanzia kwenye umbo kama hilo then we finally come up with structure like this!!
images
 
Back
Top Bottom