Maths magic!

WISDOM SEEDS

JF-Expert Member
Jun 1, 2011
841
282
Tarakimu ya mwisho ya simu yako ya kiganjani zidisha kwa 2, jibu utakalopata jumlisha 5
halafu zidisha mara 50, jibu utakalopata jumlisha umri wako, halafu jumlisha tena 365, kisha toa 615.
Namba mbili za mwisho katika jibu lako ndiyo umri wako na namba ya mwanzo ndiyo namba ya mwisho
ya simu yako ya kiganjani.

(Your cell number's last digit X 2 + 5 X 50 + your age + 365 – 615
the last two numbers are your age and the first number is your cell's last numbers)

Jaribu leo uone!!

mkuu, maelezo yako hayaendani na formula uliyoweka (labda magazijuto yalikuwa tatizo kwako) ila ukifuatilia maelezo yako kwa usahihi jibu kweli linakuja kama ulivyosema manaana mimi namba ya mwisho ni 8 na umri wangu ni 28, jibu baada ya hiyo hesabu ni 828!

Ili iendane na maelezo yako, Formula ungeandika hivi; [(Your cell number's last digit X 2) + 5] X 50 + your age + 365 – 615

Si unajuwa wengi walikimbia hesabu halafu anajifanya kukokotoa hapa.

Dah nikikuwa naijua kama hii ila sikuwahi kufikiria inayohusu umri. Tanx mkuu

Formula ungeandika hivi;  [(Your cell number's last digit X 2) + 5] X 50 + your age + 365 – 615

[/QUOTE]

hakuna kilichofanyika kwani when u simplify utapata equation: 100n + x ambapo 'n' namba ya mwisho ya cm yako na 'x' ni umri wako. Kwa namba yoyote ya cm (0-9) uki'substitute' ni lazma utpata namba yenye tarakimu 00 mwisho halaf ukijumlisha na umri wako(kwa kuwa wengi jf hatufk 100) ni lazma tarkim hizo zitajitokeza ktk tarkim 2 za mwisho ambazo ndio umri wako. Tatzo ni 'HOW SIMPLIFY' nadhan umenipata. Hesabu ni RAHISI SANA.

mkuu, maelezo yako hayaendani na formula uliyoweka (labda magazijuto yalikuwa tatizo kwako) ila ukifuatilia maelezo yako kwa usahihi jibu kweli linakuja kama ulivyosema manaana mimi namba ya mwisho ni 8 na umri wangu ni 28, jibu baada ya hiyo hesabu ni 828!

Ili iendane na maelezo yako, Formula ungeandika hivi;  [(Your cell number's last digit X 2) + 5] X 50 + your age + 365 – 615

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom