mathematics

Mr. Magena

Member
Aug 30, 2011
35
4
An old masai man was
struggling a bit with english in
abroad. He enters a restaurant
and wants to order chicken
but he can't remember what is
chicken in english. So he sees one guy at a table next to him
with a plate of 4 eggs on it.
The old man points to the plate
of eggs and says to the waiter,
"i want their mother!" i'm
hungry
 
Samahani wanajamii,, mim nataka kupost kitu..
Kama huyu jamaa aliyetupia Hyo mathematic..
Nifanyefanyeje..
Kwani kina manufaa kwa wanajamii..
 
nenda kwenye jukwaa tafuta sehemu imeandikwa new post. Click hapo then fanya mambo.
NB: Ukipost upupu computer yako itajizima na haitowaka tena.
 
unatukana wazazi wako?
Yani unajiita mtoto wa bahati mbaya?
Kweli unajitafutia laana peke yako.

Sijui macho yangu, naona kama ID na thread vimebadilika halaf comments zimeachwa zilezile, inaleta mkanganyo comments znakuwa haziendani na mada.
 
Ilinitokea nikiwa Zimbambwe. Siku tukiwa na sherehe ya kukaribishwa kwenye masomo, waandaaji walitanguliza juice kabla ya mapochopocho mengine. Kila mmoja alikuwa anakunywa juice kwa kutumia mrija. Mimi sikujua (kwa wakati huo) kabisa mrija unaitwaje kwa kingereza na kwa kuzingatia kwamba nilikuwa peke wangu Mtanzania na Wakenya nilikuwa sijazoeana nao ilinibidi niende Kaunta nichukue mrija kwenye boksi jambo ambalo halikuwa sawa maana tulikuwa tunahudumiwa.

Baadae niliuliza na msimamizi wetu kwanini nilikwenda kaunta wakati kuna wahudumu ..... Nilimwambia ukweli kwamba nilifuata mrija (kwa kumuonyesha) maana siujuhi kwa kingereza. Hivyo basi, the old man alikuwa sawa maana alieleweka na kuhudumiwa.
 
ungemjibu kwa kiswahili tu huyo jamaa huku ukimuonesha kwa vitendo.Nalog off
 
Ilinitokea nikiwa Zimbambwe. Siku tukiwa na sherehe ya kukaribishwa kwenye masomo, waandaaji walitanguliza juice kabla ya mapochopocho mengine. Kila mmoja alikuwa anakunywa juice kwa kutumia mrija. Mimi sikujua (kwa wakati huo) kabisa mrija unaitwaje kwa kingereza na kwa kuzingatia kwamba nilikuwa peke wangu Mtanzania na Wakenya nilikuwa sijazoeana nao ilinibidi niende Kaunta nichukue mrija kwenye boksi jambo ambalo halikuwa sawa maana tulikuwa tunahudumiwa.

Baadae niliuliza na msimamizi wetu kwanini nilikwenda kaunta wakati kuna wahudumu ..... Nilimwambia ukweli kwamba nilifuata mrija (kwa kumuonyesha) maana siujuhi kwa kingereza. Hivyo basi, the old man alikuwa sawa maana alieleweka na kuhudumiwa.

Mkuu haya mambo yapo!!!!!! Hata Mke wa marehemu Rais Chiluba (Vero), karibia aumbuke kipindi fulani baada ya kumtembelea Queen Elizabeth; Ktk kipindi cha maakuli, Vero ilikuwa atumie kijiko cha mviringo kuchota mchuzi wa deer; kijiko hicho kilikuwa special kwa ajili ya supu ya uyoga; Kamuzu alitumia akili ya kuzaliwa baada kumuomba Queen kwamba kwa heshima ya watu wa Zambia, anaomba aongoze sala kwa kilugha(kishona) kabla ya kupata msosi; Kamuzu alikubaliwa; hapo ndipo alipopata wasaa wa kumwambia Vero jinsi ya kutumia vijiko lukuki vilivyokuwa mbele yao; mama alikuwa mwepesi wa kuelekezwa na alifanikiwa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom