Mathematics teacher anapatikana

hiakaman

Member
Jun 27, 2011
40
5
NDUGU WANA JF POLENI NA MISHEMISHE, NAOMBA MWENYE INFORMATION YA MAHALI NINAPOWEZA PATA KUFUNDISHA MATHEMATICS, NINA B.A. IN ECONDOMICS AND STATISTICS, LAKINI NAPENDA KUW ATEACHER, EMAIL YANGU isagajuba@gmail.com

thank you wana jf
 
poa. ngoja kwanza nikutwange swali;
2 kujumlisha 2 = 4
2 mara 2 = 4

3 kujumlisha 3 = 6
3 mara 3 = 9
SWALI
kwanini 3 mara 3 ni 9 na sio 6?.
ni hilo tu, naomba jibu. Mia
 
Kwasabu 3 sio mara 2, Ni mara 3, toa hesabu zako za chekechea

jf wanakupa hesabu ya 3 mara 5 mbona hujayagongea report kwamba ni ya primary?. kwa taarifa yako hilo jibu lako umekosa. unatoa majibu rahisi sana. umiza kichwa mkuu. au wewe sio mwana mahesabu. tafuta log uweke na formula sio unataja taja tu kama vile umeulizwa kitendawili. jaribu tena. umekosa. Mia
 
popiexo una matatizo ya akil:)kipimo cha uzuri wa mwalimu sio kujua kila swali bali n kuwa na uwezo wa kumuelekeza m2 jns ya kupambana na maswal,unaweza ukawa unajua swali lakin huwez kuelekeza/kuwa na akil za kiu2 uzma
 
NAJIBU SWALI HILO SIO KUTETEA OMBI LA KAZI, NANI ALIKWAMBIA HILO SWALI? NAJUA ULIAMBIWA TU.

2+2=4, By distribution property is equal to 2(1+1)=4=2x2

But recall from your standard two and one that 1+1=2
Therefore instead of 1+1 you can put 2
Hence 2(1+1)=4=2x2=2+2

The case of 3+3≠3x3
Again by distribution property,
3+3=3(1+1), but 1+1=2
Therefore instead of 1+1 you can insert 2
Then 3+3=3x2=6≠9=3+3+3
3+3≠3+3+3

wabongo jaribu kuwa serious na wastarabu, nadhani JF pangekuwa mahali pa kupeana link sio utani.








poa. ngoja kwanza nikutwange swali;
2 kujumlisha 2 = 4
2 mara 2 = 4

3 kujumlisha 3 = 6
3 mara 3 = 9
SWALI
kwanini 3 mara 3 ni 9 na sio 6?.
ni hilo tu, naomba jibu. Mia

 
Huyo aliyeuliza swali jaman anamajaribu kwa mwenzio...nasuport kuwa ualimu sio kujua kukokotoa swali ila nikufahamu jinsi ya kupata jibu sio kwamba mwalimu ndio mjuaji wa kila kitu kuweni wastaarabu.
 
Back
Top Bottom