Mathematics is interesting!soma hapa...

Kiraka Kikuu

JF-Expert Member
Oct 3, 2011
5,904
1,976
Malkia wa Uingereza alimwita ROBERT HOOKE,baada ya ugunduzi wa Hooke's Law iliyopelekea kutengenezwa mashine imara kwa matumizi mbalimbali!
R.Hooke aliombwa achague zawadi yoyote ile!Akamtuma mfanyakazi wa mfalme alete Draft(Lina vyumba 64) na kumwambia kwenye chumba cha kwanza aweke punje moja ya mchele;chumba cha pili punje 2;chumba cha tatu punje 4(2*2);Chumba cha nne punje 8 (2*2*2); na kuendelea hadi mwisho!
Malkia alicheka akidhani ni zawadi ndogo,lakini ilichukua mwezi mmoja kufikia chumba cha 20na by the time mchele wote wa uingereza ulikuwa unaishia!
Kingefikia cha 64,mchele wa dunia nzima usingetosha!!!!!
 
Hehe, simple geometric progression, nice! ila hapo kwenye red kuna utata. By the time anafika chumba cha 20 atakua ametumia 2^20 -1 grains. Total of 1048575 grains. Kila grain ina uzito wa 20-30mg. Let's take the median value, 25mg. Punje 1048575 zina uzito wa 1048575*25mg= 26.214375kg, kama robo ya gunia zetu za tandika pale.

Hapo kwenye green, very true. Akifika chumba cha 64, atakua ametumia 2^64-1 grains ambazo uzito wake utakua around 461 billion tons!. Global rice production last year ilikua around 480 million tons TU!!!
 
Hehe, simple geometric prograssion, nice! ila hao kwenye red kuna utata. By the time anafika chumba cha 20 atakua ametumia 2^20 -1 grains. Total of 1048575 grains. Kila grain ina uzito wa 20-30mg. Let's take the median value, 25mg. Punje 1048575 zina uzito wa 1048575*25mg= 26.214375kg, kama robo ya gunia zetu za tandika pale.

Hapo kwenye green, very true. Akifika chumba cha 64, atakua ametumia 2^64-1 grains ambazo uzito wake utakua around 461 billion tons!. Global rice production last year ilikua around 480 million tons TU!!!

Upo safi
 
Hehe, simple geometric progression, nice! ila hapo kwenye red kuna utata. By the time anafika chumba cha 20 atakua ametumia 2^20 -1 grains. Total of 1048575 grains. Kila grain ina uzito wa 20-30mg. Let's take the median value, 25mg. Punje 1048575 zina uzito wa 1048575*25mg= 26.214375kg, kama robo ya gunia zetu za tandika pale.

Hapo kwenye green, very true. Akifika chumba cha 64, atakua ametumia 2^64-1 grains ambazo uzito wake utakua around 461 billion tons!. Global rice production last year ilikua around 480 million tons TU!!!

Yeah;I went wrong hapo kwenye green
 
Good even got better.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom