matengenezo ya simu!

gracious86

JF-Expert Member
Mar 25, 2011
437
54
hellow great thinkers! Nina tatizo na simu yangu ni iphone 3G (mchina),ilianguka chini,sasa inaleta shida in texting! Ni touch screen. Kwa yeyote aliye na utaalam wa michina anisaidie tafadhali! Au ni ya kufanya scraper kwasababu nimesikia kwamba simu za mchina ni ngumu kuzifanyia matengenezo,and i like my phone.. Plz help! Anyone??
 
mk fafanua vzuri inamaana haina tatizo zaidi ya kuandika? Je hakuna ufa ktk kioo'
 
try to flash ikishindikana mpelekee fundi acheki sensor kama imesheck hiyo simu yako ni ya line ngapi?
 
hellow great thinkers! Nina tatizo na simu yangu ni iphone 3G (mchina),ilianguka chini,sasa inaleta shida in texting! Ni touch screen. Kwa yeyote aliye na utaalam wa michina anisaidie tafadhali! Au ni ya kufanya scraper kwasababu nimesikia kwamba simu za mchina ni ngumu kuzifanyia matengenezo,and i like my phone.. Plz help! Anyone??

mkuu kama ni touch display kama aijavunyika ni ya kubadili touch hyo ya juu utatumia kama kawaida ukiitaji kufanya scraper ni hiari yako kama ulivyoamua kununua mwenyewe ila ilo neno lakwamba unaipenda wengi wanaotumiaga neno hilo niwale wasiotaka kununua cm mpya kwa sababu ya ukata au nyinginezo so anamwambia fundi tafadhali naomba ujitahidi naipenda sana cm yangu
 
ni kweli mkuu!
 
Kwa writing problem nadhani kubadili touch ndio solution tosha coz ndio unayotumia kuandikia (au wewe computer yako ikigoma kutype unabadili OS au keyboard?)
 
mkuu gharama ya kubadili display au touch screen ni bora upate simple nokia,honestly i dont trust chinese non brand phones
 
Back
Top Bottom