Matema Beach-enjoy and relax

Lole Gwakisa

JF-Expert Member
Nov 5, 2008
4,728
2,256
Matema Beach-Kyela.jpg
Baada ya kuzunguka Tanganyika, its time to relax karibu Matema Beach, been there?
 
Mkuu pazuri sanaaaaaaaaaaa!!! Nchii ina vitu vizuri bwana, basi tu kina JK vichwa vya nazi!
Vipi bia zimeisha.....! naona hiyo chupa kama iko tupu vile?
 
Mkuu pazuri sanaaaaaaaaaaa!!! Nchii ina vitu vizuri bwana, basi tu kina JK vichwa vya nazi!
Vipi bia zimeisha.....! naona hiyo chupa kama iko tupu vile?

Mkuu mahali hapo ni pazuri sana.
Nilipopata bia moja tu ule upepo mwanana uliniacha hoi.
The plce is beutiful, hapo ni kwa Lenner yele mjerumani.
 
iyo picha ya mwaka arubaina sabaaaa....maana huo mchupa says it all!!hatuna chupa izo kwa sasa
 
Tazama ramani utaona nchi nzuri,
Yenye mito na mabonde mengi ya nafaka,
Nasema kwa kinywa halafu kwa kufikiri,
Nchi hiyo madhubuti huitwa TANZANIA.
 
Mkuu pazuri sanaaaaaaaaaaa!!! Nchii ina vitu vizuri bwana, basi tu kina JK vichwa vya nazi!
Vipi bia zimeisha.....! naona hiyo chupa kama iko tupu vile?

Kichwa cha nazi ni baba'ko, ingekuwa sio lami anazotandaza JK ungefika huko?
 
Mkuu mahali hapo ni pazuri sana.
Nilipopata bia moja tu ule upepo mwanana uliniacha hoi.
The plce is beutiful, hapo ni kwa Lenner yele mjerumani.

Yeah the place is beautiful!
Lakini inaonesha ni picha zamani
enzi za hizo chupa za Kilimanjaro
 
Yeah the place is beautiful!
Lakini inaonesha ni picha zamani
enzi za hizo chupa za Kilimanjaro

Yes mkuu na hapo ni mi mwenyewe baada ya safari ndefu. Nina thousands of pics frm my archive na Matema if anything,has gotten better.
 
Back
Top Bottom