Matawi ya SAUT Songea na Bukoba Yazinduliwa: Zawadi ya TEC Miaka 50 ya Uhuru

Aaah, kaa kwenye dini yako hiyohiyo, mpango wa mkulu mliyempigia kampeni kwenye nyumba za ibada ni kuwazawadia vyuo vingine viwili maana toka mpewe muslim university hamjapewa kingine. This time mnakabidhiwa SUA, hombolo na ustawi wa jamii - Kijitonyama maana serikali imeshindwa kuviendesha
Kwa mwendo huu siku si nyingi nitabadili dini na kuwa mkristo..naona hawa wenzetu wana hekima sana
 
Kwani nani aliyaondoa majina ya wapiganaji wa majimaji kwenye historia? Halafu hawa wanaosoma sasa, ni kazi yao kuiandika tena upya historia au ni kuendeleza pale ambapo wengine wamefikia? Well, kila mtu ana strategies zake. Ntafanya makosa kufikiria kama mtu mwingine. What i wish to see for this country is the progress in the right direction!!! Wenye wivu acha wajinyonge, I dont care!!!

Nasikia hiyo historia ipo Kanisani kule Peremiho, sasa sijui huko ni kina nani?
 
Nalipenda sana kanisa langu linanifundisha kila wakati niwe nafikiri kuiendeleza nchi yangu. Wanasiasa naona wameshindwa kuendesha nchi hivi kwa nini serikali isijitenge kwa muda iache kanisa katoliki liendeshe nchi angalau hata kwa miaka miwili tu lijenge miundo mbinu na lirekebishe mikataba mibovu yote na wote walioiba angalau waungame na warudishe yale yote walioibia Tanzania yetu.
 
Hapo umesema.Maana nchi haina rais kwa sasa, ndiyo maana Cameroun wa uingereza amediriki kutoa hoja ya kutoa misaada kwa kubadilishana na kuingiza ushoga.JK aibu ya legacy utakayowaachia watanzania!!!!!! ushogaaaaa !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! ama kweli tumekwisha
 
Back
Top Bottom