Matatizo ya Tanzania si Lowasa au Chenge ni Kikwete

Masauni

JF-Expert Member
Aug 15, 2010
386
58
Naomba nitoe maoni yangu kuhusu mustakabari wa nchi yetu Tanzania. Watu wengi wamekuwa wakidhani ufisadi wa Lowasa na Chenge ndo sababu kubwa ya matatizo tuliyonayo Tanzania. La hasha!!. Na ninaelewa kabisa CCM wanajua chanzo cha matatizo ni Raisi wao Kikwete, lakini kwa sababu ya nidhamu ya uwoga hawawezi kusema au kumchukulia hatua. Kwa mantiki hiyi CCM wanataka kuwatoa mbuzi wa kafara Mr. Lowasa, Chenge na wengineo, ili kuwaaminisha watanzania kuwa kwa kufanya hivyo matatizo yatakuwa yamekwisha. Nataka kusema hapa kuwa kujivua gamba kwa kuwachukulia hatua Lowasa at el. will not solve the problems of our country. Kuna msemo usemao MTAWALA ATAWALAPO TABIA YAKE HUWAATHILI WALE WATAWALIWA. Mtawala ni huyo Kikwete, yeye ndo chanzo cha hayo yote naamini hata nafsi yake inamsuta. Lowasa hakuwa mtawala wa nchi, tabia yake iliathiliwa na bosi wake. Mtawala akiwa mwizi basi tegemea wale walio chini yake wataiba kama yeye? Nchi yetu kila idara ni wizi wizi tu! kwa sababu anaye tawala ni mwizi mwizi tu. Viongozi wetu ni waongo waongo tu kwa sababu anaye tawala nchi ni muongo muongo tu. HIYO ROHO MBAYA YA MTAWALA ISIPOONDOKA TUNAJISUMBUA BULE KUHUKUMU WATU WASIOKUWA NA HATIA. NIMALIZIE KWA KUSEMA KUWA TO SOLVE THE OUTCOME OF THE PROBLEM AND LEAVE THE ROOT CAUSE OF THE PROBLEM IS NOT AND WILL NOT BE THE SOLUTION.
 
Naomba nitoe maoni yangu kuhusu mustakabari wa nchi yetu Tanzania. Watu wengi wamekuwa wakidhani ufisadi wa Lowasa na Chenge ndo sababu kubwa ya matatizo tuliyonayo Tanzania. La hasha!!. Na ninaelewa kabisa CCM wanajua chanzo cha matatizo ni Raisi wao Kikwete, lakini kwa sababu ya nidhamu ya uwoga hawawezi kusema au kumchukulia hatua. Kwa mantiki hiyi CCM wanataka kuwatoa mbuzi wa kafara Mr. Lowasa, Chenge na wengineo, ili kuwaaminisha watanzania kuwa kwa kufanya hivyo matatizo yatakuwa yamekwisha. Nataka kusema hapa kuwa kujivua gamba kwa kuwachukulia hatua Lowasa at el. will not solve the problems of our country. Kuna msemo usemao MTAWALA ATAWALAPO TABIA YAKE HUWAATHILI WALE WATAWALIWA. Mtawala ni huyo Kikwete, yeye ndo chanzo cha hayo yote naamini hata nafsi yake inamsuta. Lowasa hakuwa mtawala wa nchi, tabia yake iliathiliwa na bosi wake. Mtawala akiwa mwizi basi tegemea wale walio chini yake wataiba kama yeye? Nchi yetu kila idara ni wizi wizi tu! kwa sababu anaye tawala ni mwizi mwizi tu. Viongozi wetu ni waongo waongo tu kwa sababu

anaye tawala nchi ni muongo muongo tu. HIYO ROHO MBAYA YA MTAWALA ISIPOONDOKA TUNAJISUMBUA BULE KUHUKUMU WATU

WASIOKUWA NA HATIA. NIMALIZIE KWA KUSEMA KUWA TO SOLVE THE OUTCOME OF THE PROBLEM AND LEAVE THE ROOT CAUSE OF THE PROBLEM IS NOT AND WILL NOT BE THE SOLUTION.

Mwongo wewe !design ya kina Edward na Chenge ndio walio mwaribia huyu mkuu ...
Hawa ndio mapapa walio tufikisha hapa
 
Mwongo wewe !design ya kina Edward na Chenge ndio walio mwaribia huyu mkuu ...
Hawa ndio mapapa walio tufikisha hapa
wewe ndo walewale wanaomtetea mkwele,
Yeye ndo chanzo cha matatizo yoote ya nchi hii ni mtu wa utani mwingi na mizaha,
sasa kwenye mizaha ming na nchi inaenda kimzaha mzaha, tena wakina Lowasa wamemsaidia sana ingekuwa zaidi ya hapa, sasa!
 
100% NI jk MAANA ameshindwa kuwawajibisha lowassa &co.
Jk amwajibishe lowassa!!
hivi swali rahisi kabisaaa, ni mangapi mabaya ulioyafanya na yule rafiki yako wa kariiiiibu anayajua!!
leo unaweza kusema mbele za watu mabaya yake??
 
Naomba nitoe maoni yangu kuhusu mustakabari wa nchi yetu Tanzania. Watu wengi wamekuwa wakidhani ufisadi wa Lowasa na Chenge ndo sababu kubwa ya matatizo tuliyonayo Tanzania. La hasha!!. Na ninaelewa kabisa CCM wanajua chanzo cha matatizo ni Raisi wao Kikwete, lakini kwa sababu ya nidhamu ya uwoga hawawezi kusema au kumchukulia hatua. Kwa mantiki hiyi CCM wanataka kuwatoa mbuzi wa kafara Mr. Lowasa, Chenge na wengineo, ili kuwaaminisha watanzania kuwa kwa kufanya hivyo matatizo yatakuwa yamekwisha. Nataka kusema hapa kuwa kujivua gamba kwa kuwachukulia hatua Lowasa at el. will not solve the problems of our country. Kuna msemo usemao MTAWALA ATAWALAPO TABIA YAKE HUWAATHILI WALE WATAWALIWA. Mtawala ni huyo Kikwete, yeye ndo chanzo cha hayo yote naamini hata nafsi yake inamsuta. Lowasa hakuwa mtawala wa nchi, tabia yake iliathiliwa na bosi wake. Mtawala akiwa mwizi basi tegemea wale walio chini yake wataiba kama yeye? Nchi yetu kila idara ni wizi wizi tu! kwa sababu anaye tawala ni mwizi mwizi tu. Viongozi wetu ni waongo waongo tu kwa sababu anaye tawala nchi ni muongo muongo tu. HIYO ROHO MBAYA YA MTAWALA ISIPOONDOKA TUNAJISUMBUA BULE KUHUKUMU WATU WASIOKUWA NA HATIA. NIMALIZIE KWA KUSEMA KUWA TO SOLVE THE OUTCOME OF THE PROBLEM AND LEAVE THE ROOT CAUSE OF THE PROBLEM IS NOT AND WILL NOT BE THE SOLUTION.

Mdau umelongaaaaaaaaaaa. Huo ndo ukweli hata wakikataaa
 
kama kuna mwenye ushahidi wa madhambi ya lowasa aseme sasa. Make sure unauhakika sio ushabiki wa magazeti.
 
Back
Top Bottom