Matatizo tu,,,,,,, no raha kabisaaaaaaaa!!!!

Sharo hiphop

JF-Expert Member
May 17, 2011
660
99
Hi! Wakuu!

ni siku njema na jumapili iliyotulia kabisa ikisindikizwa na kaubaridi ka ukanda wetu wa kaskazini, bt wakati wengine wakiwa wanajiandaa labda kwenda kusali au kwenda out au lolote lile, tujaribu kuliongelea hii kitu!

Maisha maisha, maisha ni UCHIZI MTUPU!!

Hebu cheki,

kwani kila panapoitwa leo watu wanakutana na magumu tu

cheki,

1. Wakati mwingine unachokitaka hukipati (MAPENZI)

2. Lakini unachokipata wakati mwingine unaweza usikifurahie (NDOA)

3. Hapohapo unachokifurahia mara nyingi mara nyingi hakidumu (BOY/GIRL FRIEND)

UKU HAPO!!

4. Kinachodumu kinakera (MUME/MKE)

5. Chenye thamani kinadhalilisha (EEDHA)

6. Kinachodhalilisha kinapendwa balaa, siku hizi mpaka na watoto (ZINAA)

7. Vingi sana vinaogopwa, lakini kinachoogopwa zaidi hakina maandalizi, kinatokea ghafla, (KIFO)

HUU sio uchizi? Mambo yanaenda UP SIDE DOWN!

naombeni mchango wenu kuhusu huu uzi

j2 njema,

Nawasilisha!!!!!
 
Njoo ufanyiwe maombi SHARO! kwa jina la YESU!! njoo ufanyiwe maombiiiiiii
 
Nimependa analysis yako? Ila nafikiri ni asili ya binadamu kutoridhika, au kutaka more n more na ambayo inamfanya kuwaza, ...,what is out there?....., na kujaribu!
Mara nyingi hiyo hali umeleta maendeleo, ingawa upande wake wa pili imeleta shida, hasa kwenye mahusiano!
Kuna mtu mmoja alielezea shida za wanaume, yeye alieafananisha na watoto, alisema!
-men r like chidren, they never grow up however old they become!
-they talk about freedom, still complain about loneliness!
-they crave for a hone yet they say marriage put them in chain!

So ndugu yangu, nafikiri muhimu ni kuenjoy kila dakika ya maisha yako!
 
Jivue gambaa kijana..... Hili life dawa yake ni kuishi kwa imani tu
 
Hiyo ndio maana halisi ya maisha na kuishi. Ni kama Jua na Mvua, kwamba vyote ni muhimu na vinaitajika kwa wakati tofauti tofauti na haviwezi kupendwa vyote kwa wakati mmoja na pia si kila kimoja kikapendwa na watu wote kwa wakati mmoja. Mfano: mvua ikinyehsa wote hufurahia lakini kwenye mafuriko huitaji jua, mvua ikinyesha twafurahia mgao wa umeme unaisha lakini maisha hapo dar kwa walala hoi kama mie huwa ni kero kwa madimbwi na shida ya usafiri makazini coz huwezi kuchapa rapa, lakini vijijini pia barabara hazipitiki na magari hukwama kutokana na ubovu wa barabara. Jua likija, matatizo ya kukosa mvua huanza, ukame ikiwa ndio kilio kikuu. Hiyo ndio maana ya maisha huwezi tosheke na kufurahia kitu kimoja kwa wakati wote.
 
Mimi ninamsikitia huyu kwa kuumiza kidole chake kidogo kidogo na ambacho hakiwezi kulia au kulalamika kwa maumivu ilichonayo

David-hayes-broken-toe-005.jpg
 
Nimependa analysis yako? Ila nafikiri ni asili ya binadamu kutoridhika, au kutaka more n more na ambayo inamfanya kuwaza, ...,what is out there?....., na kujaribu!
Mara nyingi hiyo hali umeleta maendeleo, ingawa upande wake wa pili imeleta shida, hasa kwenye mahusiano!
Kuna mtu mmoja alielezea shida za wanaume, yeye alieafananisha na watoto, alisema!
-men r like chidren, they never grow up however old they become!
-they talk about freedom, still complain about loneliness!
-they crave for a hone yet they say marriage put them in chain!

So ndugu yangu, nafikiri muhimu ni kuenjoy kila dakika ya maisha yako!

Hiyo poa mkuu! Kwanza life yenyewe hii is full of uncertainties.
 
Hiyo ndio maana halisi ya maisha na kuishi. Ni kama Jua na Mvua, kwamba vyote ni muhimu na vinaitajika kwa wakati tofauti tofauti na haviwezi kupendwa vyote kwa wakati mmoja na pia si kila kimoja kikapendwa na watu wote kwa wakati mmoja. Mfano: mvua ikinyehsa wote hufurahia lakini kwenye mafuriko huitaji jua, mvua ikinyesha twafurahia mgao wa umeme unaisha lakini maisha hapo dar kwa walala hoi kama mie huwa ni kero kwa madimbwi na shida ya usafiri makazini coz huwezi kuchapa rapa, lakini vijijini pia barabara hazipitiki na magari hukwama kutokana na ubovu wa barabara. Jua likija, matatizo ya kukosa mvua huanza, ukame ikiwa ndio kilio kikuu. Hiyo ndio maana ya maisha huwezi tosheke na kufurahia kitu kimoja kwa wakati wote.
Nakupata side, but mwingine anaweza kudhani maisha ya fulani ni bora kuliko ya mwingine
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom