Matatizo mawili makuu kwenye samsung

Kundasenyi

Member
Apr 11, 2011
58
2
Bilashaka leo upo happy, pole kama hauna furaha.. Wakuu mimi natumia samsung sgh u900 ina matatizo mawili makubwa 1) mtu akinipigia simu nikaikata bila kuipokea simu inakata alafu inaniandikia AUTO REPLAY MESSAGE SENT alafu hiyo message inaenda kwa huyo aliekuwa ananipigia, nimewapigia voda wakaniambia niende kwenye mobile traker na niingize namba moja mpaka tano, nimefanya hivyo ila nikiingiza inaniambia incorrect password.. Jf naomben msaada katika hili 2) tatizo lingine ni kwenye uwanja wa message, nikiingia kwenye create message inaniletea message na email basi... hamna mms, push message wala broadcast message, ambazo nikienda kwenye messege setting nazikuta.. hivyo zaidi ya message na email siwezi kutumia mms wala hizo zingine... Hayo ndio matatizo yangu makuu kwenye simu yangu nakosaraha kwa mimi ni mpenzi sana wa kutumia mms.. Wataalam wa jf tafadhali naombeni msaada wenu please!!!
 
Kuna wataalamu wa simu hizo pale mlimani city kwenye duka la Phone one karibu na shopprite, wanaweza kuwa na msaada. Mara nyingi huwa wana Samsung clinics hapo hapo Mlimani city, ambapo wenye matatizo yanatatuliwa bure.
 
mkuu nilishawai/tulishawai kutoa solution za code za kurest samsung aina zote ebu jaribu kusearch hapa wakati nakungalizia kwenye maktaba yangu ukiifanyia factory setting itatulia mkuu ni ishu ndogo mkuu ila ukiifanyia lazima iwe full charge mkuu
 
ntashukuru sana dr phone.. Hilitatizo lina nisumbua mdamrefe hizo solution mlizotoa sijawah kuziona plz mkuu nitafutie kwenye maktaba yako
 
Kuna wataalamu wa simu hizo pale mlimani city kwenye duka la Phone one karibu na shopprite, wanaweza kuwa na msaada. Mara nyingi huwa wana Samsung clinics hapo hapo Mlimani city, ambapo wenye matatizo yanatatuliwa bure.

bullet mimi nipo arusha je hao wataalam wanatawi hapa arusha.. Nielekeze niende mkuu shukran
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom