Matatizo baada ya kuoa

Mi nahisi labda kutokana na hiyo bikra yake ndio anasumbua wakati unataka muingilia kiasi cha kufanya mpaka unapoteza hamu ya kufanya hilo tendo. Mwambie avumilie tu na ikishatoka utaweza enjoi vizuri tu hilo tendo.
 
mimi nikijana wa kiume nimeoa hivi karibuni, lakini kabla ya kuoa nilikuwa naweza kufanya mapenzi vizuri (mwanamke hakuwa bikra) hadi mara tisa kwa masaa 24 lakini huwa nafika miezi (huwa sina tabia ya kusex kwa kipindi kifupi) ila tangu nioe nimeshindwa kufanya tendo la ndoa ume husima lakini nikisogea kwenye " K" huwa napoteza hamu yote mpaka huwa najiuliza nimekusudia kufanya nini (huyu mwanamke ni bikra) kwa io huwa ananihangaisha sana kitandani labda huwa ndio sababu ya kupoteza hamu, na jengine huyu mwanamke anajini huwa kila nnavyo jitahidi huwa kazi kubwa lakini hamna mafanikio ya kuingiza uume ktk "K".
tumeenda kuombewa dua lakini bado tatizo halija tatuka
kwa io naomba ushauri nifanye nini,
please usicomment kihuni
Pole sana kwa hayo matatizo yako kam huyo mke wako ana jini wasiliana n mimi ninaweza kukusaidia ila kwa malipo nitumie Baruwa ya pepe Email yangu hii hapa fewgoodman@hotmail.com

DALILI ZA MTU MWENYE JINI HIZI HAPA CHINI

1.KUNA KUJITAMBUA KUWA UNA MAJINI KWA NJIA MBALIMBALI.KUJITAMBUA KWA NJIA YA NDOTO YA DHAHIRI. UKIWA NA DALILI MOJAWAPO KATI YA HIZI CHINI BASI WEWE UNA JINI MWILINI MWAKO.

2.DALILI ZA DHAHILI.
A. KIZUNGUZUNGU.

B.VITU KUTEMBEA TUMBONI.

C.VICHEZA MWILINI.3

D.KICHWA KUUMA MARA KWA MARA.

E.KUHISI MTU ANATEMBEA NYUMA YAKO.

F.KUPIGA MIAYO SANA.

G.MACHO KUKOSA AIBU.

H.HASIRA ZA MARA KWA MARA.

I.KUPOTEZA KUMBUKUMBU.

J.UGOMVI WA MARA KWA MARA.

K.MARADHI YA KUJIBADILISHA BADILISHA.

L.KUHISI BARIDI MARA KWA MARA.

M.KUTOJISIKIA KUONGEA HASA WAKATI UNAPOSSEMESHWA NA MTU UNAONA KAMA

ANAKUSUMBUA.

N.MASIKO KUPIGA KELELE.

O. KUHISI VITU VINAONGEA MASIKIONI.

P.KUPOTEZA HELA MARA KWA MARA KWA NJIA YA KUTATANISHA.

Q.KUHARIBIKIWA NA VITU HASA VYA MOTO.

R.MATATIZO YA HEDHI KUFUNGIKA AU KUTOKA KWA WINGI AU KUKOSA KABISA.

S.KUFUNGIKA KWA KIZAZI.

T KUSTUKA STUKA

U.MOYO KUONGOKA SAWA NA MTU MWENYE PRESHA.

V.KUPUNGUKIWA DAMU NA KUKONDA AU KUISHIWA MAJI MWILINI.

W.KUPUNGUKIWA NGUVU ZA KIUME AU ZA KIKE.

X.KUSIKIA UCHUNGU WAKATI WA TENDO LA NDOA AU UNAPOMALIZA.

Y. KUHISI KICHEFUCHEFU UNAPOMALIZA TENDO LA NDOA.

Z .KUHISI MANUKATO AU HARUFU MBAYA.

A A.KUKOSA HAMU YA KULA AU KUBAGUA CHAKULA.

B B. MIMBA KUPOTELEA TUMBONI.

CC. KUHISI WATU WANAKUSEMESHA NA HAUWAONI.

DD.KIFAFA.

EE.KICHAA.

FF.PIA MAJINI HUMSABABISHA MWANAMKE KUWA MKALI WAKATI ANAPOOMBWA

TENDO LA NDOA.

3.DALILI KATIKA NDOTO.

A.NDOTO ZA KUFUKUZWA NA WANYAMA WAKALI.

B.NDOTO ZA KUOTA UNAJIFUNGUA.

C. KUOTA UNAPIGWA.

D.NDOTO ZA KUOGELEA.

E. NDOTO ZA KUPAA.

F.NDOTO ZA KUOTA UMEPANDISHIWA JINI.

G. NDOTO ZA KUOTA UMEOA AU UMEOLEWA.

H.KUOTA UMEVALISHWA PETE AU MKUFU.

I.KUOTA UNAPIGANA.

J.KUOTA UNAPIGA KELELE.

K.KUOTA MOTO MKUBWA.

L. KUOTA UNAZIKA.

M.KUOTA UMEKUFA.

N.KUOTA UNAFUKUA KABURI.

O.KUOTA SHEREHE MARA KWA MARA.

P.KUOTA UNAONGEA NA WATU WALIOKUFA.

Z.KUOTA UNAONA VISUGUU.

AA.KUOTA UNAONA MAFUVU WA WATU.

BB.KUOTA UNAPIGA RAMLI.

CC.KUOTA UNAVAA BANGILI AU SHANGA.

DD.KUOTA WATU WANACHUNGA NG,OMBE.

EE.KUOTA WATU WAMEVAA NGUO NYEUPE..

FF.KUOTA UNAKABIDHIWA MKUKI,FIMBO,MUNDU,MBUZI,KONDOO,NG,OMBE

NA KITAMBAA CHEUPE.

GG.KUOTA VIJUMBA VYA MIZIMU.

HH.KUOTA VIBUYU.

II.KUOTA UNAKUNYWA AU UNANYESHWA DAMU.

KK.KUOTA WATU WAMEVAA KANZU .

HIZI NI DALILI ZA MAJINI KWA NJIA ZA NDOTONI JAPO ZIPO NYINGI ILA NAWATAJIA HIZI HAPA

KWA UFUPI .NA PIA NAMUOMBA MWENYEZI MUNGU AENDELEE KUNIPA FAHAMU ILI NIENDELEE

KUWAELIMISHA NA KUWAFUNDISHA MAMBO MENGI YA KUWATAMBUA MAJINI KWA NJIA ZA

NJOZI PIA KWA NJIA ZA DHAHILI.WATU WENGI WANASUMBUKA NA MASHETANI ,MIZIMU,MAJINI,

MAITI LAKINI HAWAJITAMBUI SASA NAHITAJI KUWAPA ELIMU ILI MUWEZE KUFAIDIKA NAZO.

NA PIA NAWAFUNDISHA DAWA KWA AJILI YA HUDUMA YA KWANZA.ASANTE YENU

ITANISABABISHA KAZI YANGU KUSONGA MBELE HII NI MOJA YA SADAKA.

KWA SASA MAJINI NDIO WANAONGOZA KWA KUWATESA WATU ,NA KUWATIA

NUKSI,NAKUWAFILISI ,PIA NA KUVUNJA NDOA ZA WATU.

dua si kwa ajili ya kutoa pepo bali ni kwa ajili ya kutaka baraka zaidi. Unahitaji kuombewa ili kutoa hilo jini. Lakini kuna dini fulani inadai kuna majini mazuri na mabaya......labda ucheck inawezekano hilo ni jini jema AKA - MUME MWENZAKO if you belong to that religion
Utingo asikudanganye mtu hakuna dini inayosema kwamba kuna jini mzuri na jini mbaya huo ni mtazamo wa kibinadamu, Uislamu unaamini kwamba majini ni viumbe waliumbwa na Mungu kwa moto tena wako kwa ajili ya kumwabudu Mungu na wala hawatakiwa kuabudiwa... wape wengine elimu hii.
 
majini ni kundi la mashetani! Ndo maana ukiangalia sana dini ya kiislamu, jini ni rafiki wao! Wengine wanao ndani wanawaletea hela!
 
mimi nikijana wa kiume nimeoa hivi karibuni, lakini kabla ya kuoa nilikuwa naweza kufanya mapenzi vizuri (mwanamke hakuwa bikra) hadi mara tisa kwa masaa 24 lakini huwa nafika miezi (huwa sina tabia ya kusex kwa kipindi kifupi) ila tangu nioe nimeshindwa kufanya tendo la ndoa ume husima lakini nikisogea kwenye " K" huwa napoteza hamu yote mpaka huwa najiuliza nimekusudia kufanya nini (huyu mwanamke ni bikra) kwa io huwa ananihangaisha sana kitandani labda huwa ndio sababu ya kupoteza hamu, na jengine huyu mwanamke anajini huwa kila nnavyo jitahidi huwa kazi kubwa lakini hamna mafanikio ya kuingiza uume ktk "K".
tumeenda kuombewa dua lakini bado tatizo halija tatuka
kwa io naomba ushauri nifanye nini,
please usicomment kihuni

Mkuu mimi nadhani huna tatizo lolote isipokuwa huo ni mtera tu wa kutaka kumridhisha kimwana mbichi (performance anxiety). Nadhani umejiwekea presha wewe mwenyewe ya kumuonyesha huyu mwenzio urijali wako.

Kitu kingine, kama huyu mwenzio ni bikra basi usifanye papara nae. Fanya hivi, mnapokwenda kitandani mwambie mwenzio kuwa leo hutajaribu mumuingilia kimwili bali unataka mzungumze tu. (wanawake wanarespond vizuri sana na mazungumzo). Wakati mnazungumza uwe karibu nae mkiwa na nguo chache (nighty yake na boxer yako) huku ukimshika mwilini taratibu (usiteremke bondeni kwanza). Fanyeni haya mazungumzo kwa takriban saa moja au zaidi.

Kwa sababu utakuwa umejiondolea presha ya kutofanya hilo tendo siku hiyo nafikiri baada ya haya maongezi utamuona bwana kaka wako anarespond. Be very careful na hatua ifuatayo.

Kwa utaratibu sana peleka mkono wako bondeni ukamsalimie dada. Kama yuko tayari utajua tu kwa kiasi cha wetness (huhitaji KY lotion). Endelea taratibu na kama yuko tayari atakuruhusu. Ilani, sio lazima siku ya kwanza uingie kabisa. Mkimaliza, kama ni kutumia mkono wako juu juu au kumtumia kaka, mkumbatie kwa kiasi kirefu na sio kugeukia upande mwengine.

Jipeni muda mzoeane. Zabibu zako hizo kaka, kula taratibu.

Kila la kheri
 
majini ni kundi la mashetani! Ndo maana ukiangalia sana dini ya kiislamu, jini ni rafiki wao! Wengine wanao ndani wanawaletea hela!
hakuna uhusiano kati ya majini na dini ya kiislamu, apologize
 
ushauri jadidi huu:kev::washing::A S-omg::crutch:
Mkuu mimi nadhani huna tatizo lolote isipokuwa huo ni mtera tu wa kutaka kumridhisha kimwana mbichi (performance anxiey). Nadhani umejiwekea presha wewe mwenyewe ya kumuonyesha huyu mwenzio urijali wako.

Kitu kingine, kama huyu mwenzio ni bikra basi usifanye papara nae. Fanya hivi, mnapokwenda kitandani mwambie mwenzio kuwa leo hutajaribu mumuingilia kimwili bali unataka mzungumze tu. (wanawake wanarespond vizuri sana na mazungumzo). Wakati mnazungumza uwe karibu nae mkiwa na nguo chache (nighty yake na boxer yako) huku ukimshika mwilini taratibu (usiteremke bondeni kwanza). Fanyeni haya mazungumzo kwa takriban saa moja au zaidi.

Kwa sababu utakuwa umejiondolea presha ya kutofanya hilo tendo siku hiyo nafikiri baada ya haya maongezi utamuona bwana kaka wako anarespond. Be very careful na hatua ifuatayo.

Kwa utaratibu sana peleka mkono wako bondeni ukamsalimie dada. Kama yuko tayari utajua tu kwa kiasi cha wetness (huhitaji KY lotion). Endelea taratibu na kama yuko tayari atakuruhusu. Ilani, sio lazima siku ya kwanza uingie kabisa. Mkimaliza, kama ni kutumia mkono wako juu juu au kumtumia kaka, mkumbatia kwa kiasi kirefu na sio kugeukia upande mwengine.

Jipeni muda mzoeane. Zabibu zako hizo kaka, kula taratibu.

Kila la kheri
 
Mkuu mimi nadhani huna tatizo lolote isipokuwa huo ni mtera tu wa kutaka kumridhisha kimwana mbichi (performance anxiety). Nadhani umejiwekea presha wewe mwenyewe ya kumuonyesha huyu mwenzio urijali wako.

Kitu kingine, kama huyu mwenzio ni bikra basi usifanye papara nae. Fanya hivi, mnapokwenda kitandani mwambie mwenzio kuwa leo hutajaribu mumuingilia kimwili bali unataka mzungumze tu. (wanawake wanarespond vizuri sana na mazungumzo). Wakati mnazungumza uwe karibu nae mkiwa na nguo chache (nighty yake na boxer yako) huku ukimshika mwilini taratibu (usiteremke bondeni kwanza). Fanyeni haya mazungumzo kwa takriban saa moja au zaidi.

Kwa sababu utakuwa umejiondolea presha ya kutofanya hilo tendo siku hiyo nafikiri baada ya haya maongezi utamuona bwana kaka wako anarespond. Be very careful na hatua ifuatayo.

Kwa utaratibu sana peleka mkono wako bondeni ukamsalimie dada. Kama yuko tayari utajua tu kwa kiasi cha wetness (huhitaji KY lotion). Endelea taratibu na kama yuko tayari atakuruhusu. Ilani, sio lazima siku ya kwanza uingie kabisa. Mkimaliza, kama ni kutumia mkono wako juu juu au kumtumia kaka, mkumbatie kwa kiasi kirefu na sio kugeukia upande mwengine.

Jipeni muda mzoeane. Zabibu zako hizo kaka, kula taratibu.

Kila la kheri
Ahsante sana kwa mchango wako mzuri kwaku pia na washukuru wana JF kwa michango yao, yamenisaidia sana.
na baada km kukaa nae kwa siku mbili baada ya kuja hapa JF, nahisi tatizo halikuwa jini, kwani ume unasima kwa zaidi ya masaa mawili ila sijafanikiwa kumuingilia na ndo maana nime ukubali sana mchango wako kwangu
 
Kama huyo mwanamke ana jini basi utakuwa unananii jini na halitaki sio huyo mwanamke
 
unajua suala la kufaidi mapenzi lina upana mkubwa sana......mi naona hakuna cha uchawi wala nini...hapo ni kwamba mkuu umenogewa tu na huyo hawara yako, anakuchizisha hadi ukifika kwa mkeo unaona aah kawaida sana na unakosa hamu naye...ok sasa cha kufanya jaribu kubadilisha mazingira ya kufanya tukio hilo, nendeni km kwenye hoteli Fulani, mtulie muongee mambo mazuri mnayoyapenda, mkumbushane furaha mlizokutana nazo ktk uhusiano wenu, then ndio mnaingia uwanjani kuenjoy...ila ANGALIZO ni kuwa, ACHANA kabisa na huyo hawara kwani atakuharibia ndoa yako, na hiyo ndio nia yake...kama kweli unampenda mkeo na unahitaji kudumisha ndoa yako..kila la kheri.
 
Back
Top Bottom