MAMMAMIA JF-Expert Member Feb 26, 2008 3,811 1,603 Jul 16, 2012 #1 Wakuu, naomba mnipe maana ya maneno hayo mawili - Matata na Matatizo. Baada ya kutoa maana, naomba mnsaidie tafsiri ya msemo "Hakuna matata".
Wakuu, naomba mnipe maana ya maneno hayo mawili - Matata na Matatizo. Baada ya kutoa maana, naomba mnsaidie tafsiri ya msemo "Hakuna matata".