Matarajio. . . . .

Naamini kbs hizo Unrealistic expectations nyingi zinakuwa pasipo na upendo wa kweli,Umri mdogo akili inakuwa haijakomaa,tamaa,kuiga,malezi aliyopitia mtu,kampan na watu wanaomzunguka,na mazingira hasa huku mijini.
Hii inatokea mtu anangia kwenye mahusiano si kwa kupenda bali kufuata vitu flan au ili labda afanae na flan,au na familia yake,au aonekane kuwa ktk hali flan
Ishu inakuja pale vile alivovitarajia vinakosekana au hela inakata ndipo uhalisia unaanza kuonekana na watu kukimbiana,
Ila kwa mtu aliyepitia malezi yale ya ukweli ya kutoka kwenye shida na kuikuta raha baadae na akawa amepitia expiriens za maisha flan huyo mtu akaingia kwenye mahusiano anakua amepevuka vya kutosha,akiwa na uelewa wa maisha ni nn na yakoje,anajua anachokihitaji maishan,na anakua anafaham mafanikio ya maisha na mahusiano yanahitaji upendo,uvumilivu na ushirikiano kati ya wenza lzm ataingia humo akiwa na Realistic expectations na huwa mwisho wa siku wanafanikiwa kimaisha na kimahusiano.

tukubaliane kutokukubaliana kuwa mapenzi hayana proper definitions na vile vile being 'realistic or unrealistic' can not have a common definition. Kwa nini? human being are different with different perceptions, feelings, IQ, traditions, cuctoms, religions... to mention a few. Naamani hakuna kitu inaitwa mapenzi, ila tutavutiwa na tutatamani kuwa na fulani wa jinsia tofauti kwa malengo tofauti kama vile kampani, familia, baby dad, baby mom, pesa, muonekano etc.

Cha muhimu jua sababu ya kukuingiza kweye uhusiano ukitarajia lolote lile, kama hauko tayari kwa lolote basi hauko tayari kwa mahusiano ya kimapenzi hasa ya muda mrefu.
 
Ukiingia kwenye ndoa na mtizamo huu "Unrealistic:" Lizzy ndoa inavunjika kesho watu wanabakia kushangaa imekuwaje
Kama tunavyojua ndoa ni Commitment ya watu wawili ambao wameamua kwa hiari yao kabisa kuwa mwili mmoja
Endapo utaingia kwenye ndoa ukitegemea kila kitu kutoka kwa mwenzio pasipo kumsaidia na tunavyojua maisha ni kupanda na kushuka
1. kama mwenza wako ana ajira ,au mfanyabiashara mtaji umekatika ghafla ghafla pesa ikakosekana nyumbani wakati mwenzio yuko busy kutafuta namna ya kuishi wewe unawaza why why dina hiki ilikuwa hivi leo iko hivi pasipo kutoa msaada wa kumtia moyo kimawazo hata kimatendo..hapa kuna hatari ya kuanza kutafuta back up- Ndoa inakuwa mashakani
2. Baada ya hiyo namba moja kutokea Gari imepaki mafuta yamekosana na wewe kupanda daladala ushaona haiwezekani utatafuta wenye magari na taratibu unaanza kumdharau mwenza wako matokeo yake ni kupunguza upendo kwa mwenzio na kumdharau huku ukimuona hafai hata akikwambia lolote unaona kakosea kwake kunakuwa hakuna jema tena - ndoa iko mashakani
3.Ndoa ina milima na mabonde sio kila siku kuna vicheko ndani Kukoseana kupo na inaweza kutokea mkakorofishana ndani mpaka msiongee mtu unajiona bora zaidi kuliko mwenzio unaanza kujuta na kuweka why why kibao ..kama utaendelea na mtizamo huo wa kutoa lawama na kushindwa kujishusha na kuyaongea kwa pamoja ili kuweka mambo sawa hutaki suluhisho ..ndoa iko mashakani
4.Aliyonivutia nayo yote yanaendelea kuwepo ni ngumu ,ki umri tunakuwa ,ki fedha majukumu yanaongezeka,kimwili maumbile yanabadirika hayawezi kuwa kama pale mnapokutana unaweza kunenepa sana ,unaweza kukonda , perfomance pia sometimez inakuwa sio kama mwanzo ukianza kutoa kasoro hizo ,,ndoa iko mashakani
5. Yeye ndio mtoaji wa familia kama ukiamini hivo iko siku yeye anakosa kile ulichotegemea siku zote inabidi wewe uokoe jahazi kama utashindwa kufanya hivo wakati mwenzio anajua uwezo wa kumsaidia unao ,ni kweli haileti maana hasa katika ile ya ahadi tutakuwa pamoja katika shida na raha atasononeka na kujiuliza mambo mengi sana kichwani na kujikuta anaanza kukata tamaa
Tutakapoelewa ndoa nikupendana , kusaidiana ,kusameheana kuhurumiana ,kuheshimiana,kutiana moyo pale unapoona mwenza wako kakata tamaa,hata mwenyezi mungu ataingia kati na kusaidia pale panapoonekana kuwa pagumu kwenu
God bless
 
...

1. kama mwenza wako ana ajira ,au mfanyabiashara mtaji umekatika ghafla ghafla pesa ikakosekana nyumbani wakati mwenzio yuko busy kutafuta namna ya kuishi wewe unawaza why why dina hiki ilikuwa hivi leo iko hivi pasipo kutoa msaada wa kumtia moyo kimawazo hata kimatendo..hapa kuna hatari ya kuanza kutafuta back up- Ndoa inakuwa mashakani
...

What if mwajiriwa huyu au mfanyabiashara huyu akawa na vidosho kibao, akagoma kukusaidia shida zako na watoto ingawa pesa anayo? Akifilisika umvumilie na kumsaidia kwa vile tu hutaki kuweka ndoa mashakani? nani aliyeleta hayo mashaka?

...

2. Baada ya hiyo namba moja kutokea Gari imepaki mafuta yamekosana na wewe kupanda daladala ushaona haiwezekani utatafuta wenye magari na taratibu unaanza kumdharau mwenza wako matokeo yake ni kupunguza upendo kwa mwenzio na kumdharau huku ukimuona hafai hata akikwambia lolote unaona kakosea kwake kunakuwa hakuna jema tena - ndoa iko mashakani

Dharau haiji bali inaletwa, kila kitu kina root cause, kama ilivyo kwa upendo ndivyo hivyo ilivyo kwa chuki. Natimiza wajibu wangu sitaki kuwa na matarajio nisiyoweza kuyafanyia kazi au kuyapigania kuyahuisha.

Namba 3 na 4 hayana mjadala. Bila shaka huongelei mwanamke kujishusha bali hata mwanaume pia. Kumbuka mwanaume akikengeuka kikamilifu hata ujishushe na kujiangusha, harudi nyuma.

...

5. Yeye ndio mtoaji wa familia kama ukiamini hivo iko siku yeye anakosa kile ulichotegemea siku zote inabidi wewe uokoe jahazi kama utashindwa kufanya hivo wakati mwenzio anajua uwezo wa kumsaidia unao ,ni kweli haileti maana hasa katika ile ya ahadi tutakuwa pamoja katika shida na raha atasononeka na kujiuliza mambo mengi sana kichwani na kujikuta anaanza kukata tamaa
Tutakapoelewa ndoa nikupendana , kusaidiana ,kusameheana kuhurumiana ,kuheshimiana,kutiana moyo pale unapoona mwenza wako kakata tamaa,hata mwenyezi mungu ataingia kati na kusaidia pale panapoonekana kuwa pagumu kwenu
God bless

Hapa tutatofautiana. Naangalia maandiko yameandika nini kuhusu majukumu ya mwanamke na mwanaume kwenye mahusiano na hasa ndoa. Jamani hakuna usawa kati ya mwanamke na mwanaume. Mwanaume ataprovide na itabaki kuwa hivyo daima. Ukijijai kumprovide mwanaume na pesa zako za ukurugenzi ujue fika atatafuta wa kumprovide. It is where the reality comes.

God bless us and made us understand and differentiate the realistic and unrealistic expectations kwenye mahusiano.
 
Hongera FA.
Ila kama hutojali naomba kuuliza kwanini hutaki kuulizwa kama unampenda?

Naweza mdanganya, kwa vile najua hawezi niridhisha 100%, basi kuna anavyonikwaza na ninastahamili (except for cheating if I happen to know or he happen to let me know) kwa vile najua fika hata mimi siwezi mridhisha 100%, kuna ninapomkwaza na ananivumilia. Naweza kuwa nimekwazika kiasi cha mapenzi kuchuja. Ila kwa sababu lengo la kuwa na uhusiano nae sio kuachana, basi akiniuliza kama nampenda naweza kumjibu kuwa simpendi.
 
Lizzy, thanks kwa huu uzi!..Nimeongezea elimu ya mapenzi kwenye kichwa changu!! Ubarikiwe mumie!!
 
What if mwajiriwa huyu au mfanyabiashara huyu akawa na vidosho kibao, akagoma kukusaidia shida zako na watoto ingawa pesa anayo? Akifilisika umvumilie na kumsaidia kwa vile tu hutaki kuweka ndoa mashakani? nani aliyeleta hayo mashaka?

Dharau haiji bali inaletwa, kila kitu kina root cause, kama ilivyo kwa upendo ndivyo hivyo ilivyo kwa chuki. Natimiza wajibu wangu sitaki kuwa na matarajio nisiyoweza kuyafanyia kazi au kuyapigania kuyahuisha.

Namba 3 na 4 hayana mjadala. Bila shaka huongelei mwanamke kujishusha bali hata mwanaume pia. Kumbuka mwanaume akikengeuka kikamilifu hata ujishushe na kujiangusha, harudi nyuma.

Hapa tutatofautiana. Naangalia maandiko yameandika nini kuhusu majukumu ya mwanamke na mwanaume kwenye mahusiano na hasa ndoa. Jamani hakuna usawa kati ya mwanamke na mwanaume. Mwanaume ataprovide na itabaki kuwa hivyo daima. Ukijijai kumprovide mwanaume na pesa zako za ukurugenzi ujue fika atatafuta wa kumprovide. It is where the reality comes.

God bless us and made us understand and differentiate the realistic and unrealistic expectations kwenye mahusiano.

1.hapo FA tunakuja kwenye kesi nyingine kama unajua hilo kwamba husband wangu ana vidosho kibao nje na inawezekana hao ndio wamechangia kumfikisha hapo alipo ,hilo ni swala jingine na inabidi nifikilie upya,Nilivyomuelewa Lizzy ni kuwa kama umeingia katika ndoa na mtizamo huu(Unrealistic)

2.Lizzy ameweka group mbili kuna mtu anaindia kwenye ndoa kwa sababu fulani ,
na mie nionekane nina mme,maisha yatabadilika ,nitapata hiki ama kile .

3.Hapa wote wawili inawapasa kuwa na hekima FA ,kwa upande wangu huwa naona nikija juu na hasira zangu mzee anakaa kimya hata hanisemeshi ama anatoka kimya kimya nikianza kuwaza najikuta nacheka mwenyewe

4.FA kumbuka sio siku zote mwanaume anakuwa nacho,mie pia najua majukumu ya mwanaume hasa katika bible na majukumu ya mke ,Lakini kuna wakati unaona kabisa hari si shwari hapa mwenzangu kashindwa kabisa inabidi umpe support na hasa kama unafanya kazi,biashara kwangu sioni ubaya wowote kusaidiana maisha yamebadilika sana mpendwa ,Zamani wanawake wengi walikuwa mama wa nyumbani wanatunza watoto family kwa ujumla ,lakini sasa wote tunajishughulisha mzee anatoka asubuhi na wewe unatoka ,hivo huo ni mtizamo wangu.

.Lunch Time FA
 
Naweza mdanganya, kwa vile najua hawezi niridhisha 100%, basi kuna anavyonikwaza na ninastahamili (except for cheating if I happen to know or he happen to let me know) kwa vile najua fika hata mimi siwezi mridhisha 100%, kuna ninapomkwaza na ananivumilia. Naweza kuwa nimekwazika kiasi cha mapenzi kuchuja. Ila kwa sababu lengo la kuwa na uhusiano nae sio kuachana, basi akiniuliza kama nampenda naweza kumjibu kuwa simpendi.

WOW. . kweli matarajio yako yamekaa kiuhalisia zaidi.
Ahsante kwa kunijibu.

Alafu ulivyomjibu FirstLady1 kuhusu namba 1 na 2 huwezi amini wanawake wengine walivyo. Kuna binti namfahamu aliolewa na mwanaume mwenye pesa, akafunguliwa saluni, akapatiwa matumizi na mapenzi juu(maneno yake hayo sio yangu). Ila baada ya shughuli za mume kwenda mrama alikimbia akaacha na mtoto kabisa. Alafu akawa sasa anamwongelea vibaya, mwanaume akamtafuta mpaka kwa email dada anamjibu kua aache kumsumbua, yeye mwanaume gani hata wakiwa kitandani haangaliki? Yani alikua anamdharau na kumkejeli LIVE. Sasa huyo kaka kaileta hiyo dharau?

@Mama wa kwanza. . . Asante mama kwa mchango.

@BJ . . . karibu mpenzi.
 
I think one of the biggest things overlooked in a relationship/marriage by people is that they assume their partner will not change. The real truth is that the person you're with will evolve naturally and you have to be willing to understand this and recognize it so that your relationship evolves as well. It's like a relationship has tides... It's hard; it gets easy; it gets fun again. What's hard for most people to sustain is an ideal that their relationship should be perfect.

That's ridiculous. What's fantastic about marriage is getting through the ups and downs with the same person, and looking across the room and saying, 'I'm still here. And I still love you.' You re-meet, reconnect. You have marriages within marriages within the broader scope of your relationship. But society has made the concept of wanting to work at your relations a total taboo.

We raise our eyebrows at people who seek out marriage counseling. We question the value of commitment. It's unfortunate, but we live in a very disposable society. Those moments where it looks like "this isn't working it's time for me to leave"- those are the most important, trans-formative moments. Most couples draw up divorce papers when they're missing out on an amazing moment of deepening and enlightenment and connection. I just think we all need to be more prepared to WORK. Too many of us forgive in spite of love.

Dueces...

The Finest
 
tukubaliane kutokukubaliana kuwa mapenzi hayana proper definitions na vile vile being 'realistic or unrealistic' can not have a common definition. Kwa nini? human being are different with different perceptions, feelings, IQ, traditions, cuctoms, religions... to mention a few. Naamani hakuna kitu inaitwa mapenzi, ila tutavutiwa na tutatamani kuwa na fulani wa jinsia tofauti kwa malengo tofauti kama vile kampani, familia, baby dad, baby mom, pesa, muonekano etc.

Cha muhimu jua sababu ya kukuingiza kweye uhusiano ukitarajia lolote lile, kama hauko tayari kwa lolote basi hauko tayari kwa mahusiano ya kimapenzi hasa ya muda mrefu.
Ni kweli kbs F.A na ujuavyo km kweli ile hali ya kujikubali na kumkubali mwenzio inakuwepo hizo material things na mabadiliko ya situations huwa haviwezi kuathiri chochote na ndipo tunakuwa tayari kwa lolote as long as uko na mtu umemkubali na malengo yenu yanana!
Ila
 
Back
Top Bottom