Matarajio. . . . .

Dearest, ninajitegemea tu vile inabidi na nachukia kuomba....ila kusema ukweli nikapata mtu tu wa kunipa mahitaji yangu na kunisomeshea vile vitoto vyangu, kazi kubwa itakuwa usafi,upishi na kwenda gym....sipendi shida kabisaa na kuchoka choka!!

Hahahah. . . raha muhimu dearest, hamna anaependa shida. Ila siku yakitokea ya kutokea siutasimama umsaidie mwenzio?
 
Hahahah. . . raha muhimu dearest, hamna anaependa shida. Ila siku yakitokea ya kutokea siutasimama umsaidie mwenzio?

Siwezi muacha mpenzi wangu kwenye dhiki hata siku moja na Mungu anisaidie....unafurahi umpendaye akifurahi jamani....!
 
Hhhhmm. . . inawezekana.
Kuna watu wasio na shukrani, hata wakipata mtu mzuri baada ya kunyanyasika sana bado wanakua viguu na njia , maneno kila saa.

sikatai wapo,ila ni ujinga kwao kwani wako experienced,still wanaifanya relationship,iwe fragile.. Hivi ni kweli kuwa mwanamke ndiye usukani?
 
Now that's what i'm talking about dearest. He is blessed he who will have you for a wife.

Really? Am stubborn dearest....that's my problem.....!

AMEN to being a good wife...In Jesus Name.!
 
Really? Am stubborn dearest....that's my problem.....!

AMEN to being a good wife...In Jesus Name.!
Sure thing dearest. AMEN to that.

Alafu dearest being stubborn is not a problem unless you MAKE IT a problem.
 
Napata wakati mgumu bado kwa kua naishi kusubiri ubaya wa mama Gaude ilihali umri unazidi kunisogeza karibu na aliyenileta duniani...Ni jambo moja li dhahiri...kwamba hakuna mtu mwenye shahada ya mapenzi ndo maana kila kukicha vioja vinaibuka vipya...Muhimu ni kufanya utaratibu wa kukaa chini na kujadili mathalan kila mwezi ili kuepuka migogoro inayoweza kuzuilika...fanyeni vikao; Msemezane!
 
sikatai wapo,ila ni ujinga kwao kwani wako experienced,still wanaifanya relationship,iwe fragile.. Hivi ni kweli kuwa mwanamke ndiye usukani?
Hehehehe habari ndio hiyo. Mwanaume ni usukani na mwanamke ndie anaeuendesha. . Lolz
 
Sure thing dearest. AMEN to that.

Alafu dearest being stubborn is not a problem unless you MAKE IT a problem.

Thank you for that insight....its not a problem unless i make it one....working on that as i grow old...!!
 
Hehehehe habari ndio hiyo. Mwanaume ni usukani na mwanamke ndie anaeuendesha. . Lolz

Ahaa..well said. Kwa hiyo relationship ikienda segemnege,a lady should be a subject to blame in most cases,si ndiyo?
 
Karibu dearest. . .
Naweza leta thread kwa maelezo zaidi ukiniruhusu.

Thread kuhusu mwanamke kuwa stubborn?? Utusaidie jinsi ya kuondokana nao...!

please go ahead dearest,i got no problem with anything your smart mind decides to write.....!
 
Thread kuhusu mwanamke kuwa stubborn?? Utusaidie jinsi ya kuondokana nao...!

please go ahead dearest,i got no problem with anything your smart mind decides to write.....!

Hahahaha usinivimbishe kichwa dearest.

Stubborness and other things that are percieved negatively while they really don't have to be. I hope you will like it.
 
Kama atakua anakagua kila saa NDIO, tatizo ni muda sasa.

so tatizo ni muda? Mfano mmoja wanaume huwa tunasema,laiti wanawake wangekuwa wanaume kwa angalau wiki moja,mahusiano yasingekuwa na migogoro sugu haata kidogo.
 
so tatizo ni muda? Mfano mmoja wanaume huwa tunasema,laiti wanawake wangekuwa wanaume kwa angalau wiki moja,mahusiano yasingekuwa na migogoro sugu haata kidogo.
Tatizo ni kwamba shughuli ni nyingi, huwezi kumlinda mwenzako masaa 24.
 
Hahahaha usinivimbishe kichwa dearest.

Stubborness and other things that are percieved negatively while they really don't have to be. I hope you will like it.

Siku nikikuvimbisha kichwa uwe na hakika nikigundua hilo nitakirudisha kwenye hali yake ya unyenyekevu.....!

I will like it,no doubts....Sweet dreams dearest, ngoja nipumzike....!
 
Back
Top Bottom