matani ya kitoto enzi hizo!!!!!!

stevoh

JF-Expert Member
Dec 5, 2011
2,921
1,104
kumbuka unavyotaniwa na wenzako

  • :lol:
    • :lol:
    • :lol:


unaambiwa etiiiii
-una meno kama karanga za bwashee.......
-kicha kama boflo la mkate
-macho kama gololi dungudungu



ntakuja kumalizia nikipata mengine embu na wewe nikumbushe mengine....
 
kujamba kwa tembo kwenu taarifa ya habari.

Kijiko kwenu mswaki


umekomaa hadi ukitema mate yanadunda


tumbo kama mpira wa m.v.
 
kichwa kama harage, tumbo tikiti, miguu spoko za baskeli, makanyagio papai
 
ndo maana kwenu mkipika nyama, mnakula kwa atendesi afu nyama mnarushiwa kwa manani na baba enu.
 
ndo maana kwenu mkipika nyama, mnakula kwa atendesi afu nyama mnarushiwa kwa manani na baba enu.

we ni noma...
inaelekea ndo zilikua zako kwa sana...
kwa ujanja wako ninaouona hapa...duh
 
ndugu yenu mm nakumbuka yakilugha tu...
af cjui hata kiswahili chake...
 
ha ha ha
uswazi chuo kikuu

chezeiya uswazi wewe
full kijiachia watoto
mnajikuta mmekusanyika kama 20 hivi
vituko tupu

we ni noma...
inaelekea ndo zilikua zako kwa sana...
kwa ujanja wako ninaouona hapa...duh
 
Macho ka mjusi aliyebanwa na mlango, tumbo ka mimba ya chura....
 
Sie utotoni tulitaniana kwa mitusi ya kikubwa,mchenge wee!,kyumamayo,mchezo wa kibaba na kimama na mfano wa hayo sie ndo uswazi genuine enzi hizo Ilala mtaa wa utete nyumba no.49 mjumbe mzee chui!!
 
Domo kubwa kama gadala la pombe kilabuni

Kichwa kikubwa km treni
 
Ukomaa tukikuna kichwa unatoa unga

Unatishia kuja.m.b.a wkt unaharisha.
 
Pua kama bajia.

Mashikio kama popo.

Nywele kama mkutano wa siafu.

Ha Ha Haaaaaa !!!!!!!!!! Zilipendwa. Zikilia zina chezwa.
 
mashavu kama ****** ya mtoto,
miguu kama chupa za togwa
mweusi kama ukuta wa jiko
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom