Matangazo yanayopotosha

Matangazo Ya Pad za kike na Condom yananikera sana, maana hayana uhalisi baada waonyeshe jinsi zinavyotumika wao wanaonyesha watu wanacheza cheza mziki
 
Lile tangazo la mwanafunzi anayesema hadanganyiki wakati alishachakachuliwa na pia hana mvuto! Na yule mlugaluga mwenye baiskeli sijui walimtoa wapi... eti 'unajua mi nakupenda..' Hovyo kabisa.
 
mi sipendi matangazo ya miaka 50 ya uhuru. Napenda tangazo la Vodacom wanavyocheza kwaito kando ya bahari na matangazo yote ya haki elimu hasa la computer na la hesabu (square root)
 
Back
Top Bottom