Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Matangazo ya Zanzibar Bwana utachoka mwenyewe!!

Discussion in 'Jamii Photos' started by KakaKiiza, Nov 24, 2010.

 1. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #1
  Nov 24, 2010
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 9,573
  Likes Received: 993
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
   
 2. TzPride

  TzPride JF-Expert Member

  #2
  Nov 24, 2010
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 2,255
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  kiurojourojo ville!
   
 3. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #3
  Nov 24, 2010
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,587
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Kuna ile ofisi ya Makamu wa Rais... Wao waiita AFISI YA MAKAMO WA RAIS... Kazi kwei kwei...
   
 4. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #4
  Nov 24, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,582
  Likes Received: 332
  Trophy Points: 180
  hahahahaa! this is nice one, yani kwao wao, moshi ndo problem, basi wafuta bhange hapo ndo panawafaa, kwa mana wanameza moshi wooote kabisa.
   
 5. Nyikanavome

  Nyikanavome JF-Expert Member

  #5
  Nov 24, 2010
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 434
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  du! hili tangazo kali, kuvuta sigara bila moshi
   
 6. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #6
  Nov 24, 2010
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,397
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160
  Electronic cigarettes hazitowi moshi:

  [​IMG]
  [​IMG]
   
 7. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #7
  Nov 24, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 6,992
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  moshi ndiyo tatizo kwa kuwa unapouvuta hasa ule unaotoke puani kwa mvutaji, unakuwa na bakteria/virus ikiwa mvutaji ana infection yo yote kifuani. Ni bora kuvuta sigara direct kuliko kuvuta moshi unaotoka kwa mvutaji ambao umepita kwenye kifua ambacho kinaweza kuwa na infections au TB
   
 8. F

  Ferds JF-Expert Member

  #8
  Nov 24, 2010
  Joined: Oct 27, 2010
  Messages: 1,267
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 133
  na ukitaka kucheka zaidi hebu tupia jicho TVZ au TV zuzu yaani taarifa ya habari inasomwa na makame usi, repoter faki makame faki, eneo la tukio mwembe mchomeke, wilaya ya magharibi mkoa wa kusini unguja
   
 9. v

  vickitah Senior Member

  #9
  Nov 25, 2010
  Joined: Jun 18, 2010
  Messages: 152
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hii kiboko'
   
 10. L

  Linababy Member

  #10
  Nov 25, 2010
  Joined: Oct 5, 2010
  Messages: 56
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kumbe ulionaeeeeeeeeee alafu wajiita waswahili.
   
 11. Ngisibara

  Ngisibara JF-Expert Member

  #11
  Nov 25, 2010
  Joined: Jan 2, 2009
  Messages: 2,070
  Likes Received: 390
  Trophy Points: 180
  Hapo penye red umeniacha hoi mkuu
   
 12. Mpeni sifa Yesu

  Mpeni sifa Yesu JF-Expert Member

  #12
  Nov 25, 2010
  Joined: May 23, 2010
  Messages: 649
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  wameathirika na lugha yao ya kipemba...hata kiingereza huwa wanachanganya hivyohivyo. international(inteneshino) wao husema internashonal'i), chemical(kemiko) wao husema Kemikal'i) yaani wanashika ile elo/L ya mwishoni hawaachii. professional (profesheno) wanasema profeshenal'i).
   
 13. Mpeni sifa Yesu

  Mpeni sifa Yesu JF-Expert Member

  #13
  Nov 25, 2010
  Joined: May 23, 2010
  Messages: 649
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  lakini cha maana ni kuelewa, ndo maana hata hapa bara kuna wamasai, wachagga, wahehe, wasukuma, wanyakyusa etc, wakianza kukisumbua kiswahili hadi utakionea huruma.

  sasa kama hapo kwenye tangazo, anasema eneo hili "haliruhusiwi", yaani eneo ndo haliruhusiwi kama vile eneo ndo linatenda kitendo vile..sio watu wanaopita hapo ndo hawaruhusiwi, eneo ndio haliruhusiwi...hahaha,....
   
 14. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #14
  Nov 25, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,223
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  Hujakuta yale matangazo ya mtaani ambapo sentensi zimeunganishwa kutoa sentensi moja.
  HAPATUNAUZASODANA MAJIBARIDI. huo ni fano, just visit mji mkongwe uchanike mbavu
   
 15. Kunta Kinte

  Kunta Kinte JF-Expert Member

  #15
  Nov 25, 2010
  Joined: May 18, 2009
  Messages: 3,550
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Mkuu nakushukuru kwa hili, lakini waswahili tulivyojeuri ukimwambia mtu avutie mbali hawaelewi bana sijui tufanyeje!
   
 16. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #16
  Nov 25, 2010
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,983
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Unakutana na reporter anaripot toka Mchambawima
   
 17. Ab-Titchaz

  Ab-Titchaz Content Manager Staff Member

  #17
  Nov 25, 2010
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 14,702
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Hapa leo nimecheka kweli wakuu...kuna mtaa eti unaitwa mwembe mchomeke..:eek:....kunatendaka nini hapo wajameni?

  Gaadeem wazenji wangu leo mumeliwa!

  Kibunango yuko wapi aje kutetea huu wazimu!
   
 18. Ab-Titchaz

  Ab-Titchaz Content Manager Staff Member

  #18
  Nov 25, 2010
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 14,702
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Khaaa!!!...niko hoi hapa jamani!
   
 19. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #19
  Nov 25, 2010
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 37,621
  Likes Received: 2,805
  Trophy Points: 280
  Ahahahahaaaaaah mkuu hiyo avatar yako balaa!!!
   
 20. b

  bitimkongwe JF-Expert Member

  #20
  Nov 25, 2010
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 2,971
  Likes Received: 150
  Trophy Points: 160
  Yaani nyinyi wabara ambao mumejifunza kiswahili huko munakoita shuleni, ndiyo mumekuwa wabora kwa kiswahili kuliko wenyewe wenye lugha!

  Ama kweli dunia imekwenda songombingo, kha!

  Nina hakika hata hamujui maana ya hiyo mwembe mchomeke mutabaki kucheka tu.
   
Loading...