matangazo ya vodacom

The Boss

JF-Expert Member
Aug 18, 2009
49,110
115,885
ningependa kujua ni kampuni gani sasa inatengeneza matangazo
hasa ya tv ya kampuni ya vodacom..

mwenye kujua tafadhali amwage hapa..
 
Nakumbuka lowescanad ndo ilikuwa agency ya matangazo yote ya voda sasa sina uhakika kama wanaendelea au vipi.
 
Mtu mmoja aliniambia kuwa ni agency ya South Africa. Imepewa kazi hii specifically for rebranding task. I can't confirm the info but it is from an almost reliable source. But why this question?
 
Am off topic kidogo. airtel matangazo yao hayana hata chembe ya ubunifu, kipind ilipokuwa inaitwa Zain yap, kaz ilikuwa ya ukweli. Mpaka sasa tiGo ndo wanawakimbiza.
 
Wanaitwa JWT Company..trade mark under Jack Winters Group...
headquaters hapa Bongo ni pale M-City kny Headquaters ya
Vodacom (vodafone) wenyewe... ila HEADQUATERS wenyewe ni US, Dallas
wakiwa wanasaidiwa usambazaji wa matangazo na AFRI KINGS Tanzania Ltd....
 
Back
Top Bottom