Matangazo ya mitandao ya kujikusanyia pesa, huu si utapeli?

Sep 1, 2016
47
29
Kumezuka matangazo ya kujiunga na mitandao kadhaa ambayo inahamasisha watu wajiunge ili waweze kujikusanyia pesa kutoka mitandao hiyo, kuna wakati wanatangaza gharama za kujiunga wakitofautiana viwango vya kujiunga Tsh.20,000/= 80,000/= 90,000/= lakini unakuta mtandao ni huo huo mmoja na wakitoa ahadi nono za bonus kwa wanachama watakao jiunga.

Hii kitu imekaa vipi?
 
iCHARITY, una manufaa yake ila wakifilisika imekula kwako, kwa mfano kuna baadh ya watu walifaidi pesa ya kutosha kutoka DECI,
sikushauri kujiunga na hayo mambo
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom